Obama akataa Picha za kuthibitisha kifo cha OSAMA kuoneshwa hadhrani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama akataa Picha za kuthibitisha kifo cha OSAMA kuoneshwa hadhrani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tizo1, May 4, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Rais wa marekan Barack Obama amekataa kuweka hadharani picha zinazothibitisha kifo bha OSAMA BIN LADEN
  source.www.bbc.co.uk

  and
  www.cnn.com
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ana haki na maamuzi. Nimepita tu. Mwenye nguvu mpishe,na mjuwe hakuna haki duniani haki ni kwa Mungu pekee!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Anasoma alama za nyakati!
  Sababu iliyofanya Osama asikamatwe akiwa hai ni hiyohiyo inayolazimu picha zisionyeshwe!
  Unawajua al-qaeda wewe?
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hana picha hizo
   
 5. m

  mohamed ally Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ameshindwa kufoji kama zile alizofoji!
   
 6. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa akizionyesha

  Vita vikazidi vya wafuasi wake kuua watu kila mahala yaani kila nchi as msisahau kuwa walibomu embassy yao ya TZ mtafanyaje? Mtasemaje?

  Watachukua picha hizo na kuziabudu na kufanya madhara embu

  Acheni azuie wengine tunataka bado kuishi
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  huo ndio ukwel hawa jamaa wa alqaemda wana hasira zinazoongezeka kila dakika nadhani wakiona hzo picha ni vita isiyokwisha!
   
 8. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,074
  Likes Received: 15,725
  Trophy Points: 280
  naye mwongo si ajabu hawajamu
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Kwa hiyo hawatafanya hivyo kwa sababu tu picha hazikuonyeshwa hadharani potelea mbali kwamba OBL ameuawa kwa kupigwa risasi?? So it all comes down to Show or not to Show the pictures eh? Sounds so hollow to me. HAWANA.

   
Loading...