Oa mwanamke bahili ili uwe na nguvu ya kiuchumi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,354
40,237
Ukitaka uwe na nguvu ya kiuchumi, oa mwanamke bahili, na uwe unampatia fedha zako akutunzie. Yeye atazilinda fedha zako na atahakikisha yale mambo yote muhimu, kama kujenga nyumba / majengo, kununua mashamba, viwanja, kufungua biashara n.k zinatekelezwa.

Ukikosea tu hapo ukaoa wale wasiokuwa wabahili, jiandae kuishi kwa stress, kwake matumizi ni kitu cha kawaida tu. Pia wana sifa ya kutokuchepuka kwenye ndoa.

Wakuu kazi kwenu..
 
Back
Top Bottom