Oa au olewa na Mzanzibar ili mtoto wenu awe na hadhi + uwanja mpana wa kufanikiwa (Zanzibar citizenship privilege)

Mtoa mada ni zero brain miaka 20 ijayo unajua kuwa ajira zitakuwa zipo vp hata bibi toto atakuwa kazikwa muda mrefu
Hivi unajua wanawake wanavyoishi muda mrefu? Mwanamke mwenye miaka 60 leo ambaye ana maisha mazuri anaweza fikisha 85.
 
Faida nyingine kuolewa na mwarabu ni dili haswaa, i know that kumpata mweupe nywele laini ni ngumu mno,,,,hata waarabu koko/kuchovya siyo mbaya unapata katoto halfcast.
 
Mademu was Znz kutoa mbususu zaokwa kijana mbara Tena kabila kama langu la sukuma gang ni issues ....hawoti mbususu zao kabisaa nasikia wakijua kijana unatoka bara Basi wao wanatupa 0713
 
Lakini tambuwa waarabu ni dili kubwa,hata mhindi hafui dafu, If you have your sister unmarried msukumize aolewe na mwarabu hata wa kuchovya sawa tuu ilimladi atoke mwarabu,,mutapata watoto wazuri mno,nywele laini,ngozi nyororo acha kabisa.
acha ujinga
 
Ujinga wangu ni upi mkuu? Huoni kuwa waarabu ni dili sana!!!! Wewe apo ukiolewa na mwalabu ata wakuchovya huoni kuwa utaheshimika sana,,especiallyutapata watoto wazuri mno!!
Wewe jinsia gani mkuu, sorry for asking!..
 
Halafu huu uzi una elements za racism mtoa mada kuna unachokitafuta sijui umetumwa
Mtoa mada anajaribu kutufumbua machp Watanganyika kwamba, Wazanzibari wananufaika na muungano kuliko Watanganyika.

Kiukweli miaka yote nilikuwa sifahamu kama Wazanzibari wametengewa 21% ya ajira za muungano. Mbona hiki kitu huwa hakifundishwi kwenye somo la Civics?

Pia, huwa najiuliza, hao Wazanzibar ambao hawautaki muungano huwa wanatoka wapi? Kwa sababu ukiutazama muungano kwa haraka haraka, wanaonufaika zaidi ni Wazanzibar kuliko Watanganyika.



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pia, huwa najiuliza, hao Wazanzibar ambao hawautaki muungano huwa wanatoka wapi? Kwa sababu ukiutazama muungano kwa haraka haraka, wanaonufaika zaidi ni Wazanzibar kuliko Watanganyika.
Binadamu wengi wameumbiwa tamaa mkuu, hata mtoto anaekula mboga nane, huwa zinawakinai wanahitaji za ziada.

kuna mznzibari 1 tu katika watanzania 90 lakini cha ajabu bado hawaridhiki wanapata mgao mkubwa sana kwenye nafasi za uongozi, vyeo vya juu, ajira, n.k.
 
Mshua unaonekana unapenda sana mtelezo eh?
Mafanikio yoyote yanakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na juhudi na sio kutegemea kuolewa/kuoa mzungu au mchina.
Pambana achana na hayo mawazo
Kama mtelezo wa kihalali kwanini usitumike ??

Ni sawa na kupewa connection ya kufanya kazi tra au kupewa mkopo usio na riba kwenye biashara, lakini wewe unakataa eti kwasababu ni mtelezo unataka kuendelea kusukuma mikokoteni, una akili kweli wewe ?
 
Warabu hawaolewi bila mahesabu na familia nyingi zenye uwezo arabuni wanaoa elites wa kizenji! Hawaoi kajamba nani yani kwa mfano mtu kama hussein mwinyi akitaka kuoa mke wa kiarabu unafikiri atamkosa huko Oman?

Hata kama wana ubaguzi ila kwenye pesa hawapindui huwa wanaangalia na status za familia za kuozesha😅

Mtoto wa bhakressa kama Yusuph bhakressa akitaka kwenda kuoa uarabuni anakosaje mke wakati level ya maisha ya huyo binti akija bongo anakuta ni ile ile tu! Familia imejaaliwa uchumi ni tajiri wazazi wa mwarabu wanachomoaje na tamaduni za kiislamu zipo kama kawaida.

tatizo la mbongo akikataliwa tu anahisi amebaguliwa kwa rangi yake, anashindwa kufahamu factors nyengine nyingi zinazopelekea
 
Uraia sio tatizo. Tatizo ni mtu wa bara kumiliki ardhi kule Visiwani
Mzanibar hataki watu wa wamiliki ardhi yao ila huku kwetu walipanga kwamba ardhi iwe ya wote, hata hizi leseni za udereva za huku bara hwezi kutumia kule ila wao leseni zao zinatumika kote,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom