O.J Simpson Afungwa Miaka 9...na Zaidi!!!!!!

Wamemtafuta mpaka wamempata duh!!

Aliyataka mwenyewe! Baada ya kuponea chupuchupu katika ile kesi ngumu ya mauaji alitakiwa atulie kama maji ya mtungi lakini wapi, akawa anafanya vioja karibu kila wiki na jamaa walikuwa wanamfuatilia nyendo zake kwa karibu tu hatimaye wamempata. Hiyo miaka 15 sijui kama ataimaliza kabla ya kufia kifungoni.
 
Ni wazi kuwa ni kisingizio tu kwa sababu angekuwa mtu wa kawaida tu usikute wala kusingekuwa na kesi hapo....eefff CNN. I'm not a big fan of OJ lakini hapa kaonewa

Huo ndio ukweli Marekani kuna sheria za weusi na wazungu, sasa angalia yule Senate wa Alaska ambaye alifanya ufisadi wa kunufaika kupitia wadhifa wake kwa kupokea rushwa toka makampuni mbali mbali. Anaweza akafungwa miaka michache sana.

OJ ni kweli ameonewa lakini baada ya kuona wazungu walivyoshabikia afungwe katika kesi ile ya kwanza alitakiwa kuwa muangalifu wa kuhakikisha nyendo zake zote hazivunji sheria hata chembe, lakini wapi!
 
Anaingia akicheka.....
capt.e0b3107d33f7441f846c44f8a1071269.oj_simpson_nvjh137.jpg

O.J. Simpson appears during his sentencing hearing at the Clark County Regional Justice Center in Las Vegas, Friday, Dec. 5, 2008

oohhh si mie jaji wamenionea tu......
capt.cps.oks73.051208225817.photo04.photo.default-341x512.jpg

Babuu, maji lazima uyaoge tu.........
capt.cps.oks73.051208225817.photo02.photo.default-512x388.jpg

Machinga nao waona dili....

capt.cps.oks73.051208225817.photo01.photo.default-512x341.jpg

Duh, jana sijalala na hawa wahuni wataka kunifunga..mmmhhhh....

capt.cps.oks73.051208225817.photo00.photo.default-512x341.jpg

Lakini jamani miaka 15 kwa kesi kama hii? Totally unfair.

Hata hukumu ya mwaka mmoja kwa kesi kama hii ni kubwa mno. Halafu Judge bila hata aibu akadai kwamba hukumu yake haihusiani kabisa na kesi ya mauaji!!! Kweli kafanya makosa lakini kumfunga miaka 15!!!
 
capt.63ce5b9b73d744f8918b72e78543d136.oj_simpson_nvjh112.jpg

aahhh babuu sina budi na lazima nkufunge tu....!

capt.01e950d91584459aa31665d0805341b7.oj_simpson_judge_ny119.jpg

Unauona mlango Bw. O.J.?

capt.fcc880da1f7c4adea63f28cb6986a812.oj_simpson_judge_ny118.jpg

Haya basi yaishe....

2008_12_05t153134_450x298_us_simpson_bail.jpg

Adios mpaka mtakapotangaziwa tena.....

r1239443712.jpg

Anaingia akicheka.....
capt.e0b3107d33f7441f846c44f8a1071269.oj_simpson_nvjh137.jpg

O.J. Simpson appears during his sentencing hearing at the Clark County Regional Justice Center in Las Vegas, Friday, Dec. 5, 2008

oohhh si mie jaji wamenionea tu......
capt.cps.oks73.051208225817.photo04.photo.default-341x512.jpg

Babuu, maji lazima uyaoge tu.........
capt.cps.oks73.051208225817.photo02.photo.default-512x388.jpg

Machinga nao waona dili....

capt.cps.oks73.051208225817.photo01.photo.default-512x341.jpg

Duh, jana sijalala na hawa wahuni wataka kunifunga..mmmhhhh....

capt.cps.oks73.051208225817.photo00.photo.default-512x341.jpg

Sasa na hiyo minyororo waliyomfunga inahusu nini!!!? Kesi za mauaji ndiyo watu wanafungwa minyororo, ali mradi kumdhalilisha tu!!!
 
Sasa na hiyo minyororo waliyomfunga inahusu nini!!!? Kesi za mauaji ndiyo watu wanafungwa minyororo, ali mradi kumdhalilisha tu!!!

BAK,

siku hizi hata misdemeanors wanakusweka hiyo minyororo na hamna
kuvaa home gear wala nini..unakwenda na magwanda ye jela tu...(emphasing a person's guilt).
 
OJ's team is planning to appeal, and it seems this robbery and kidnapping charge has been over sentenced, thre's also talk about the make up of the jury... this is not a closed case yet!
 
OJ's team is planning to appeal, and it seems this robbery and kidnapping charge has been over sentenced, thre's also talk about the make up of the jury... this is not a closed case yet!
Susuviri,

Swali muhimu ni watatumia argument gani?..Just saying the compostion
of the jury will not fly.Wangesema hio kitu at the beginning of the
case lakini kwa sasa inakua a very uphill task...ni kama kujaribu
kurudisha colgate ndani ya tyubu yake...kazi kweli.
 
Well, they can still try! No harm in trying and many say that the chrges also were wrong so he could shave off a few more years. Hii appeal case ndo itakuwa very interesting maana hukumu hii imevuta hisia ya watu wengi sana.
 
Don't you think kama angechukua plea deal basi his terms would have
been lower? Nilivyomcheki OJ akiongea kwenye runinga, ungedhani
kasakamwa na kiazi cha moto kooni.It had dawned on him that this time
around he was gonna do some serious time...kiburi chote kiliisha!

Kem fikiria under the current circumstances itabidi amalize 9yrs kwanza
nd'o awe legible to apply for parole.History has shown that parole boards
do not grant paroles to folks on their first attempt.Kwa hivyo he will be
denied kisha arudi asubiri the next one which could range anywhere from
a year or two depending on the state ( I believe ni Nevada in this case)

Kazi sasa ni hio appeal case ambayo najua ita-drag na mawakili
watatengeza hela ya bure.Mungu amsaidie OJ!
 
Kaonewa kivipi jamani? Si amefanya Armed robbery au?
 
Back
Top Bottom