Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus kashaga