Nzi hata wawe wengi kiasi gani hawatengenezi asali: Mwigulu

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus kashaga
 
Anamaanisha Hata sisiemu wawe wengi kiasi gani lkn hawawezi kuiendesha nchi kwa uhuru na haki!!
 
Asubiri tarehe 16 atajua Chadema hapa Arusha ni Nzi au Nyuki. Mikakati yao yote tumeshaijua na hakika hawataiba kura hata moja na wakikaa vibaya Chadema wataiba za CCM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cmm ni nzi ndio anachomaanisha sasa chadema ni nyuki asali lazima aile kabla hajaondoka Arusha
 
Huyu mheshimiwa angekuwa anaimba taarab angekuwa na nyimbo nyingi sana na album za kutosha kumzidi hata mzee yusuph
 
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa
hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI,
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Revocatus kashaga

Yaan huo umati wa wana wa Nchi wa Arusha Nchechemba ameuita Inzi? Matusi yake ya Bungeni ameyahamishia Arusha. Atavuna alichopanda.
 
Jamani tulizomee hili liuwaji mwigulu hilooooooooo... hiloooooooooo, vuvuzela hilooooooo, lizinzi hiloooooooooooooo,
 
Hayo ni maneno ya mfa maji.
CCM pamoja na kubeba watu na kuwaleta kwenye mikutano lakini bado mikutano haijai watu.
 
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus kashaga

Kiburi wanachoonyesha hawa mafisadi kina kikomo chake na waja soon
 
ameemanisha kuwa ccm haitishiki na umati wa watu na vijana wanaojaa katika mikutano ya chadema huko arusha-kwani mwisho wa siku ccm itaibuka na ushindi. aliendelea kusema kuwa hatuna haja ya kuiba tunaongea na wapiga kura. Hatuna haja ya kubisha kura zitahesabiwa mbele yenu na CCM ITASHINDA MBELE YENU. SIJAJA KUTALII HUKU. NIMEKUJA KWA KAZI MOJA TU. NITAONDOKA NA USHINDI, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Revocatus kashaga

ukoo wa panya.......
 
Anamaanisha Hata sisiemu wawe wengi kiasi gani lkn hawawezi kuiendesha nchi kwa uhuru na haki!!

Kweli kabisa maana na wengine wanajiita madactari ila hawana lolote ni majina na vyeti pasipokuwa a utendaji
 
Alishatutukana watu wa Arusha kuwa ni mbwa. Na watu wa Arusha hawana muda wa kubishana naye, wamekubali kuwa ni mbwa na watakwenda kubweka kwenye sanduku la kura

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom