Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,754
Ungeweka na jibu la Mh. ili tujue ilikuwaje.
Kama kawaida yake,kajibu ubishi tuUngeweka na jibu la Mh. ili tujue ilikuwaje.
Hizo 0.3% zimeenda wapi?Sasa wameshinda kwa asilimia 99.7, nafikiri na maendeleo kwa kipindi hiki yafikie asilimia hizo hizo kwa kipimo cha World Bank au UN au OECD.
Mwongo huwa hakumbuki yaliyopita.. ccm bwana wamewadanganya sana wafuasi wao japo ni wachache sanakina nani hao walijitoa? mbona jafo ametoa matokeo ya vyama vyote?
lost and gone.
Anaishia kusema tulime matikiti, hivyi yule mzee anayajua matikiti au anaropoka tu kwakua maiki ameshika yeye??? Kwanza kula hayo matikiti ni starehe Pia..... Watu hawana pesa ya unga hata kula kwa mlo mmoja atanunua tikitiki ajaze Maji tumboni??Hilo swali magufuli amelijibu huku anawayawaya limempiga vibaya
Halafu raia wamemshangilia mno jamaa. Mkuu ajitafakari
Watanzania sio wajinga
Nakubaliana na Raisi kujitoa pia Ni haki ya kidemokrasia ya mgombea.Tanzania Demokrasia iko juu Sana inaruhusu mtu kujitoa
Waupinzani waendelee kuchapa kazi wakivuliwa uanachama ni haki yao kwenda Mahakamani kupigania haki yao yakuchaguliwa. Mbona wabunge wanakwendaga Mahakamani kubakia kwenye majimbo? Hapo patamu!!!!!!!!!!!kina nani hao walijitoa? mbona jafo ametoa matokeo ya vyama vyote?
lost and gone.
Rais Magufuli hajawahi kuwa true 'Statesman' CCM wali buugi tu