Nzega kwanoga, Kigwangalla alalamikia 'rafu za mapema' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nzega kwanoga, Kigwangalla alalamikia 'rafu za mapema'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Oct 30, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hamis Kigwangalla Facebook status:

  "Kuna mtu mmoja anahangaika jimboni Nzega sasa hivi eti anazuia watu wasilime pamba kwa kuwa Mbunge amehamasisha kilimo hicho na watu sasa wameitikia vizuri, na yeye anaogopa wanavyozidi kuongezeka kwa kasi atashindwa kuniangusha kirahisi 2015! Siasa za kipumbavu namna hii hazitomsaidia, atamaliza hela zake bure. Badala ya kuwasaidia wazazi wake na ndugu zake anapita akigawa pesa hovyo. Badala hata ya kujenga nyumba anapita akigawa pesa na ahadi! Badala aanze kurekebisha utata uliogubika uraia wake anahangaika kuanza kampeni mapema hii akipika pilau na nyama!"
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Siasa zetu za bongo staarehe, na vyombo vyetu vya habari mahtuti.

  Nchi zilizoendelea Mbunge hawezi kuandia ovyo ovyo Facebook, Twitter wala Mixer.

  Kwetu hollaaaa
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ningemuona shupavu kama angemtaja jina.
  Hayo mambo akawape akina shigongo anaekurupukaga kuandika kwenye Magazeti ''RAIS AFUMANIWA''...
  then ukisoma habari ndani utakuta ni Rais wa wazamia kwenye minuso.....shame
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I think Hamis is getting nuts..... ahangaikie maendeleo ya jimbo lake bila kujali nani anfanya nini, sio kila siku kulalama peke yake

  Nzega sio facebook, twitter wala JF... the dude is a spoilt chaild, darma queen kabisa

  Yeye ahangaikie mipango endelevu, ili wananchi waendelee na sio kuhangaikia wengine wanafanya nini

  MAMBAFFFFFFF
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi huko Nzega si ndio kuko namna hii

  [TABLE="width: 879"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]26% Nzega hawajui kusoma, kuandika


  na Mustapha Kapalata, Nzega
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]
  ZAIDI ya asilimia 26 ya wakazi wa wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, hawajui kusoma na kuandika.
  Akisoma risala katika kilele cha wiki ya watu wazima kilichofanyika kata ya Ndala, wilayani hapa, Ofisa Elimu ya Watu Wazima Wilaya, Pius Kaputa, alisema asilimia hiyo ni kubwa ukilinganisha na wakati uliopo wa kupambana adui ujinga.
  Alisema asilimia 26 ni sawa na wakazi 63,252 ambapo wanawake ni 37,952 na wanaume 25,300.
  Alisema wilaya ina programu za elimu ya watu wazima ambayo inafanya jitihada za kupunguza idadi kubwa ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika.
  Alizitaja programu hizo kuwa ni MUKEJA mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na mpango unalenga kuiwezesha jamii kujifunza kwa lengo la kuboresha hali ya maisha yao, programu ya MEMKWA mpango wa elimu ya msingi kwa walioikosa ambao hutoa fursa kwa watoto wenye umri wa miaka 11-18 ambao hawakupata elimu ya msingi kupitia mfumo rasmi kwa visababishi mbalimbali kwa jamii.
  Alisema pamoja na juhudi hizo, bado kuna changamoto za ufinyu wa bajeti kwa ajili ya kuendesha programu hizo, wawezeshaji wa programu hizo kukosa mafunzo rasmi ya uwezeshaji wa vituo hivyo hasa na mabadiliko ya masomo kuwa mengi.
  Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Frolence Holombe, alisema idadi hiyo ya wasiojua kusoma ni kubwa hivyo jitihada za makusudi zinahitajika ili kukabiliana na adui huyo.
  Alizitaka taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali kujitokeza kukabiliana na wimbi hilo la kuhakikisha wananchi hao wanaweza kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya pamoja na programu hizo zilizowekwa.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yES nYAMBALA,

  NA HUYU JAMAA ALIKANDYA WANACCM WANAOTUMIA MEDIA KUJADILI YAWAHUSUYO WENYEWE

  KREZI STUFF
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua tatizo la hako kajamaa naona bado kana hangovers za students politics!!!!!! Halafu mara nyingi kanaweka upopulist mbele.
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Lazima ahakikishe anamzima huyo anaemlalamikia kwa sababu hata uwepo wa Hk kwenye ubunge leo ni hisani tu, huyo adui yake pengine ndio alitakiwa awepo hapo.
  Si mnakumbuka kura za maoni CCM aliongoza Adui wa HK, akaja Lucas Selelii ndio akamalizia HK,
  Ataachaje kuweweseka nae kila siku!!!!
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Siasa za nchi hii ni majungu tu na hisia. Sijui tutabadilika lini!! Kila linalofanywa na mtu jimboni linahisiwa kuwa ni mbinu ya kupinduliwa. Pole sana nbunge wa Nzega. Kama unaona pilau inawafurahisha wapiga kura wako, kwa nini huwapikii! Halafu kwa nini humtaji jina huyo unayemsema? Tumechoka na lugha ya taarabu.
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hamisi!unagwaya kivuli chako tu!!kwanini usijiamini!!hivi kweli FACEBOOK ni sehemu mahsusi ya kuwasilisha malalamiko yako kweli!!damn!!!Fanya shughuli za maendeleo jimbon kwako!usiogopo kivuli chako!
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hawa kigwangallah na bashe watatoana roho. Kama kuna mtu ambaye hafurahii ubunge wake basi ni Kigwangallah.
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hili jimbo bora upinzani lichuke tu maana hawa watu watakuja uana bure Kifupi tumechoka na single yao hii isiyo na mashiko

  HK yeye ni mbunge aliyepewa dhamana na wananchi wake sasa kelele za chura zinamnyimaje usingizi ili hali anatekeleza majukumu yake kama alivyo ahidi

  Kurejea tena 2015 kuwa mbunge kunatemea sana uwajibikaji wake kwa wananchi aachane na huyu asiye na uraia wa TZ
   
 13. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  ...........ama kweli wabongo hawana muamana, juzi tu jamaa alikuwa anaongelea kujiuzulu leo mwenzake kugawa pilau imemuuma, pia hata uraia wa Kigwangala ni utata asimcheke mwenzake bro..
   
 14. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ngoja nijichekee miye. Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!

  Sasa huyu mwingine anaitwa "msomali" wakati huo huo mbunge muogopa mpika pilau naye inadaiwa aliwahi kughushi cheti yaani ni Kihiyo. Siye yetu macho bwana, linatota wao wanacheza mdumange!!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,439
  Likes Received: 22,353
  Trophy Points: 280
  Bashe ni kiboko ya Kigwangalla,ila 2015 jimbo ni la Chadema
   
 16. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kigwa fanya kazi uliyotumwa na wana Igunga acha kelele bana!Umeajiriwa kwa miaka 5 tu!Baada ya 2015 ni majaliwa sio lazima uwe wewe mh!
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo nime underline think twice, kapewa na chama chake tena kwa hisani wananchi walitumika kama rubber stamp tu!!!! ushasahau makaratee ya ccm?
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kinachomtisha ni kwamba mpinzani wake ana siasa za kistaarabu na zilizotukuka.Mpinzani wake namfananisha na kina Mnyika na Zitto.
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Inaelekea huyu Hussein Bashe anamnyima usingizi Saidi, hata usiku akilala atakuwa anamuota au kumuona kwenye usingizi wake. Huyu Mbunge amekuwa kama Nape kazi kulalamika kwenye Facebook kwa kejeli na mipasho
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni Nzega sio Igunga
   
Loading...