Nywele zangu ni nyembamba mmno, nawezaje kuziongezea diameter?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Wembamba wa nywele zangu unazifanya ziwe za kipili pili. Nawaza kama zingeweza kuongezeka unene zikawa 'stout' hili lingesaidia zinyooke na ningeweza kufuga afro....
Sasa nawauliza nifanye nini ili nywele zangu ziweze kuongezeka diameter?
 
Jaribu kupaka dawa ya kuumua makalio ila angalia kichwa kisijekuumuka!
 
Back
Top Bottom