Nywele za kwapa na za chini za mwanamke zinapandisha mzuka

Johannesburg: The secret to snagging the woman of your dreams lies not in those expensive aftershaves and eau de colognes, but as it turns out, your armpit odour, according to a new research.
What's more - the chemicals in your armpit's sweat can make her decide if you are the one for her.
According to the study, conducted by researchers from the Monell Chemical Senses Center in Philadelphia, Pennsylvania, underarm sweat contains a complex compound of odourless pheromones that have a powerful subconscious effect on females, reports Health24.com.

BAK...I guess i will not be going to Johannesburg soon...that sweaty smell is not funny at all.
 
Binafis kwa nwele za kwapa mie kwangu ni turn off ; laki I adore the dark bushes down ther iwe treamed or not aaaaaaaaah
we acha tu!
 
Hawa wanaopenda miharufu ndo chanzo cha wimbi la wanaume wanaotembea na house girls...wakisikia harufu za mabinti waliochoka na kazi bado hawajaoga wenyewe misuruali inatuna!!
 
Harufu isitokee
Shamba ulipalilie
Huko ukukazanie
Toa nywele za kwapani, na Malazi yawe safi!

Toa nywele za kwapani
Ka-manukato kwapani
Safisha masikioni
Safisha midomo yako, na Malazi yawe safi

Safisha midomo yako
Kabla ya kumla mwenzako
Lete sasa busu lako
Mwanaume kata kucha, na malazi yawe safi

extracted from Msinyimane (Malazi yawe Safi) by Mkumbo Mitula
 
Bana eeh! minywele kama huko chini isiwepo tu, maana hata ukitaka kuingia chumvini inakuwa tabu tu..kwenye kwapa ndio kabisaaaa nataka kipara pee!
 
Sijui hili niite ni tatizo au vipi lakini kuna baadhi ya washikaji zangu huwa wanasema kuwa wanapata mzuka sana kwa wanawake wasionyoa nywele za kwapa au pubic hair, hii imekaaje?,hao wanaonyoa dongo a.k.a upara maeneo hayo tuwashauri waache afro kwa kuwa zina mvuto lakini wazingatie usafi tu?...waungwana mnasemaje?

Du mie nikikutana na asiyenyoa china dudu linachanwachanwa na hiyo miv**i mpaka nakoma. Ila nikikutana na aliyenywa kitu kinateleza tu laiiiiniiiiiii kama unanawaaaaaaaa maji ya sabanii hehehe
 
Du mie nikikutana na asiyenyoa china dudu linachanwachanwa na hiyo miv**i mpaka nakoma. Ila nikikutana na aliyenywa kitu kinateleza tu laiiiiniiiiiii kama unanawaaaaaaaa maji ya sabanii hehehe

Unakutana na wangapi?

Kuna ukimwi ndugu yangu!:mad:
 
minywele ikiwa mingi sana inaboa kuzama uvinza! ukizama unaibuka na nywele kibaooo....bora kipara!
 
Sijui hili niite ni tatizo au vipi lakini kuna baadhi ya washikaji zangu huwa wanasema kuwa wanapata mzuka sana kwa wanawake wasionyoa nywele za kwapa au pubic hair, hii imekaaje?,hao wanaonyoa dongo a.k.a upara maeneo hayo tuwashauri waache afro kwa kuwa zina mvuto lakini wazingatie usafi tu?...waungwana mnasemaje?

vichaka viwe visafi unaweza kutana na kichaka kikakukata stimu mwezi mzima
 
aaah waungwana mnaniangusha, misitu mingine noma hasa kama kisima chenyewe kina furika na mamba kibao. nishaogelea siku moja nikasahau nokia yangu 3310, misitu mingine inaharibu mazingira, bibie Mariaroza nisaidie mobile number yako pls
 
Hahahaha...me too!
 
Back
Top Bottom