Utunzaji wa nywele za asili

Mi zangu ni ngumu sana,ila zinarefuka hatari,siwezi kuzichana zikiwa kavu,natamani nywele natural ila nateseka sana kuzichana,nitumie nn
 
Mimi nimekuwa mvivu sikuhiz kutreat hiz nywele, mmenipa hamasa ya kuzitunza tena, kuwa na nywele kuna raha yake, sema ikifika kuchanaa sasa uhii kama hazina unyevu ni shida,

Na pia unaweza nunua empty spray bottle ukajaza maji ukajipulizia kidogo kichwan wakat wa kuchana ili ziwe na maji kidogo, na kama unataka kuchana weka section kama huko juu walivyo eleza chana kuanzia juu na sio chini, chika katikati ya nywele ili using'oe nywele na usisikie maumivu, kumbuka unyevu ktk nywele utakusaidia
 
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojiekeze mimi ni "ME", napenda sana kuzitunza na kufuga nywele zangu za kichwa..
So naomba kufahamishwa mafuta mazuri ambayo yatanisaidia kulainisha nywele zangu maana Nina asili ya nywele nyingi na ni ngumu..

% Nawasilisha %
 
Aliewahi jaribu henna kwenye nywele je inabadili rangi ya nywele?? Mfano nywele nyeusi inakuwa rangi gani na inachukuwa mda gani kwarangi kuisha kwenye nywele ama unatumia njia gan ili rangi itoke yotee
 
mmmh ucjaribu kuwekaa dawa,, utabaki kipara,, zangu nikiweka dawa zina katika zote nabaki na kipara,, weka steaming,, hina ya majani changanya na yai la kienyejii kwa mwezi mara mbili , paka kwenye mizizi ya nywele,, utanipa matokeo
Asante, hinaya hiyo unapatikana wapi
 
Habarini wapendwa, , Mimi nina nywele ambazo niliweka dawa , lkn kwa sasa nahitaji nywele zangu za asili , wengi wananishauri nikate nianze upya lkn nywele zangu hazikui kwa haraka, naombeni km kuna mtu anajua njia nyingine ya kuondoa hii dawa kwenye nywele ili nibaki na za asili.
AHSANTE.
 
Habarini wapendwa, , Mimi nina nywele ambazo niliweka dawa , lkn kwa sasa nahitaji nywele zangu za asili , wengi wananishauri nikate nianze upya lkn nywele zangu hazikui kwa haraka, naombeni km kuna mtu anajua njia nyingine ya kuondoa hii dawa kwenye nywele ili nibaki na za asili.
AHSANTE.
Usikate mpendwa hata Mimi nilikuwa naweka dawa na nimeacha kuweka tangu mwaka Jana,sasa nimebaki na natural hair pekee.

Na nywele zangu ni ngumu kama katani,mwanzo nilidhani haiwezekani,fata hatua hizi utanipa mrejesho

1-endelea kusuka nywele za mkono,zenye dawa zitakuwa zinakatika zenyewe unapochana,zinabaki natural hair

2-uwe una osha saluni unawaambia naosha na kuxinyoosha au hata nyumbani kama una dryer La mkono unaweza nyoosha kwa kuchana huku unakausha,ukimaliza unasuka

3-pendelea kusuka nywele za mkono(twende kilioni),unasuka kubwa ukifumua unasuka ndogo ndogo unakuwa unapishanisha kwa mfumo huo

4-nenda maduka ta urembo nunua mafuta kwa ajili ya nywele natural au tumia ya Nazi,Castro oil mafuta asili.

Ukipata nafasi kila wiki Fanya steaming nyumbani ya yai,parachichi,kitunguu saumu n.k.
 
Back
Top Bottom