Utunzaji wa nywele za asili

Mi nnachojua ni kwamba aunt Jackie ana products nyingi, so mnatushauri tuchukue zote au hiyo conditioner pekee?
Unaweza chukua zote. But kama ni kuhusu kuchana nywele kwasbb ya kipilipili bas chukua leave in conditioner peke ake. unaweza ukachanganyia na product nyingne za shampoo au mafuta.

Pia kwa matokeo mazur ununue na shea butter ya nywele. Ni mafuta mazito kwa ajili ya nywele unapaka kwenye nywele yanasaidia nywele ambazo ni kavu zikae na mafuta mda mrefu.

Ukipaka leave in unachana unakuja unapaka shea butter ndo yanakuwa mafuta yako ya nywele lakini pia hata mwilini yanatumika. Ni mafuta mazur sana
 
Asante nina nywele nyingi alafu ndefu pia kavu mno Yaani nikinyoosha na blow dryer lazima niumwe kichwa hata nikipass siku 1 tuu hizoo nitajaribu hizo product maana nlichoka nikasema naeka relaxer this December
 
Yaan ukitumia hyo leave in conditioner mtu anaweza kuhisi umeweka relaxer. Saiv hamna haja ya kuweka relaxer.

Najaribu ku upload picha za hzo leave in lkn inagoma. Kama una namba ya watsapp ni pm nikutumie
 
mmmh ucjaribu kuwekaa dawa,, utabaki kipara,, zangu nikiweka dawa zina katika zote nabaki na kipara,, weka steaming,, hina ya majani changanya na yai la kienyejii kwa mwezi mara mbili , paka kwenye mizizi ya nywele,, utanipa matokeo
Mi zangu kipilipili lakini nyeusi tii.. naiogopa hina sababu sitaki zibadilike rangi
 
Unaweza chukua zote. But kama ni kuhusu kuchana nywele kwasbb ya kipilipili bas chukua leave in conditioner peke ake. unaweza ukachanganyia na product nyingne za shampoo au mafuta.

Pia kwa matokeo mazur ununue na shea butter ya nywele. Ni mafuta mazito kwa ajili ya nywele unapaka kwenye nywele yanasaidia nywele ambazo ni kavu zikae na mafuta mda mrefu.

Ukipaka leave in unachana unakuja unapaka shea butter ndo yanakuwa mafuta yako ya nywele lakini pia hata mwilini yanatumika. Ni mafuta mazur sana
Thanks for sharing. Nahisi nimepata muarobaini wa kuki keep hiki kipilipili changu, maana nakipenda
 
Sio mafuta. Inaitwa leave in conditioner ambayo jackies ni kampuni. kuna leave in conditioner nyingi za kampuni tofauti.

Kupata hiyo jackies nenda mwenge ulizia leave in conditioner ya jackies au kama hamna ulizia ya mega growth ni nzur pia.

Usiulizie mafuta ulizia leave in conditioner

Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume
 
Sio mafuta. Inaitwa leave in conditioner ambayo jackies ni kampuni. kuna leave in conditioner nyingi za kampuni tofauti.

Kupata hiyo jackies nenda mwenge ulizia leave in conditioner ya jackies au kama hamna ulizia ya mega growth ni nzur pia.

Usiulizie mafuta ulizia leave in conditioner
shukrani mamiii
 
Yanaitwaje?? Yanapatikana wapi au nipe contact zake
Yanaitwa hivo hivo Aunt Jackies, ndo kuna shampoo, conditioners (leave in na ile ya kuweka na kuosha), kuna mafuta yake kwa ajili ya natural hair, etc etc. Maduka ya SH Amons utayapata, na insta kuna watu wanauza lakinu watu wa insta wana mabei balaa. Sh Amons wanauza elfu 15 @. Insta utaambiwa 20 au 30
 
Back
Top Bottom