mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 640
- 495
Cc mzeewangese
Pamoja mkuuXina mbavu data!
Unawindwa na wasiojulikana wala kuonekana...
Kuwa makini sana, unacho wanachokitafuta...
Cc: mahondaw
Leo niwaulizeni swali, kipindi cha nyuma huko Cc [HASHTAG]#mahondaw[/HASHTAG] haikuepo kwenye post zako lakini sasa hivi ni kila post
Swali: huyu binti [HASHTAG]#mahondaw[/HASHTAG] mlipatana humu JF then kila abira achunge mzigo wake??
Kha ushindweYesu mwenyewe alikuwa na mapepo yaliyompanda kichwani siku 40 porini....
Afu uyu jamaa ndo zake sijui ni dini gani huyu,mi ananikera anavyokufuru dini.Daah jamaa umekufuru asee, NAKUSIKITIKIA SANA. Kwanini msiwe mnakaa kimya?
Ni somo ndefu mkuu ila kama mdau mmoja alivyosema kuna mlango wa sita kwa binadamu ambao hushughulika na kinetic energy, emotions na perceptions. Ulishajiuliza inakuaje unawaza unaibia na ukienda unakuta umeibiwa kweli? Au kuna mtu nyuma yako na ukigeuka una mkuta? Huu mlango wa fahamu unaitwa ESP (EXTRA PERCEPTION SENSE ORGAN)Heshima kwenu wakuu,
Nimewahi kukumbwa na hali ya nywele kusisimka ghafla na kuwa kama zinasimama au kurefuka ghafla hasa napotembea nyakati za usiku na Mara moja nilikuwa nimelala kitandani.
Hali hiyo huambatana na something like kaupepo kenye baridi na hatimaye hofu huingia na kunijaa kuashiria eneo husika sio salama au kuna hatari but sijawahi kuona kwa macho hatari then hali hiyo hupotea.
Naomba kuuliza nini hasa husababisha hali hiyo na je kunakuwaga na hatari kweli au ni kitu gani hasa? Je na wengine mumewahi kukumbwa na situation kama hizo,,pliz wajuzi may you let me know.Thanks in advance,karibuni wadau am confused!
Mmesikia uchungu eeeeh. Na pale mnapomtukanaga Allah kwa kumwita ni Abdul Qathem je huwa mnaoa raha? Na mnavyomwitaga mtume wetu Muhammad s.a.w kuwa ni mbakaji mnajisikiagaje? Mara mseme alirogwa mara aliingiwa na pepo....Kha ushindwe
Ungeenda shule vizuri ungeelewa kazi za hormones mbalimbali mwilini. Over secretion na under secretion mwilini pamoja na athari zake. Kiufupi una over secretion mwilini ya adrenaline from the adrenal glands zilizopo juu ya figo zakoInahusianaje na mada yangu
Umeniona mimi tu? Huyo MGEN anavyosema mtume Muhammad na Allah walivyo huoni?
Ni bora ungesema mmekufuru kuliko kunisema mimi tu......
Mseme na MGEN pia hapo nitakuelewa.
Rudi shule ukasome mambo ya glands na hormoneHeshima kwenu wakuu,
Nimewahi kukumbwa na hali ya nywele kusisimka ghafla na kuwa kama zinasimama au kurefuka ghafla hasa napotembea nyakati za usiku na Mara moja nilikuwa nimelala kitandani.
Hali hiyo huambatana na something like kaupepo kenye baridi na hatimaye hofu huingia na kunijaa kuashiria eneo husika sio salama au kuna hatari but sijawahi kuona kwa macho hatari then hali hiyo hupotea.
Naomba kuuliza nini hasa husababisha hali hiyo na je kunakuwaga na hatari kweli au ni kitu gani hasa? Je na wengine mumewahi kukumbwa na situation kama hizo,,pliz wajuzi may you let me know.Thanks in advance,karibuni wadau am confused!
Na ivi ndo nshakudharau basi hata kubishana najionea ushubwadaMmesikia uchungu eeeeh. Na pale mnapomtukanaga Allah kwa kumwita ni Abdul Qathem je huwa mnaoa raha? Na mnavyomwitaga mtume wetu Muhammad s.a.w kuwa ni mbakaji mnajisikiagaje? Mara mseme alirogwa mara aliingiwa na pepo....
Kwani kurogwa kwa Muhammad tatizo ninini? Kurogwa kwa binadamu na Mumgu kugongelewa misumari maalabani ipi ni fedheha?
Hiyo ni njia ya kukimbia. Kwani ninyi huwa mna hoja ya kimaandiko? Huwa no blah blah tu...Na ivi ndo nshakudharau basi hata kubishana najionea ushubwada
Pambana na stress zako
Ushuhuda kupitia maelezo yako.MUNGU ameumba viumbe vingi,,,vikiwemo vinavyoonekana na visivyoonekana kwa macho,,,hivyo sometimes huenda unakutana na viumbe ambavyo wao wanakuona vizuri,,ila wewe huwaoni ,,,,pia wapo watu ambao hupata hisia kama hizo km kuna jambo baya linakuja,,,,ndy maana mtu anaweza akatafutwa,,na kila anapoondoka WANAOMTAFUTA HUFIKA eneo husika,,,na kuambiwa alikuwapo hapa sasa hivi,,,au unaweza kuhisi jambo ukabadilisha njia,, baadae ukasikia ile njia ukiyoikwepa kuna tukio baya limetokea,,,hivyo unapaswa kuamini hisia zako,,,zikikushtua jambo zifuate,,,ukijizoesha hivyo,,,mwisho wa siku watakuona ni mchawi,,kumbe hisia zinakuelekeza kabka ya jambo kutokea,,,,