Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Habari wakuu,

Kutokana na jukwaa letu kuwa na mada nyingi nzuri japo nyingine za muda kidogo, mada maalum zinazoelezea matatizo ya kitu fulani lakini hazionekani kirahisi na kadhalika nimeomba hii iwe sticky na itabeba links ya mada zote muhimu za jukwaa hili ili kutojaza kurasa ya kwanza na stickies..

Pia kama una mada uliipenda na ungependa wengine wawe wanakutana nayo kirahisi waweza comment kwenye thread hii na mimi nitaiweka.

Mwisho, ili kupunguza mada nyingi zisizojitosheleza kwa watu kuomba misaada ningependekeza kwa pamoja tuanzishe mada kubwa(au kupendekeza zilizopo) hasa za brand kubwa za simu maana misaada mingi ipo hapo. Naamini kwa pamoja tunaweza kufanya jukwaa letu kuwa rafiki na zuri zaidi na kwa kuanza nimeanza kwa kutafuta mada kadhaa hapo chini ili wengine kuweka wanazokumbuka.

Kwa heshima napenda kuwaita Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko snipa Mwl.RCT Paje Nyasiro kadoda11 na wengineo wengi..

Asanteni..

=======
TELEVISHENI NA VING'AMUZI

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

Kwa maoni yako: King'amuzi gani ni bora hapa Tanzania?

INTERNET
Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri?


Direct links mega thread x2x0x1x5x

Jifunze hatua kwa hatua; Namna ya kushusha video za Youtube bure


SIMU NA TABLETS

Tushirikishane 'Apps' nzuri za Android

Jinsi ya ku root simu yako ya Android


Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

Jinsi ya kutambua processor ya simu na kuijua simu fake(android)

Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing children

Naipenda simu yangu ya windows

Tofauti kati ya iPad, tablet za android na windows

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number

Je! Kuna athari gani ya kutumia simu (Feki) clone/copy?

Nawezaje kuondoa matangazo Kwenye Android?

Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo




DESKTOP & LAPTOPS


Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta
-



MENGINEYO

Web Development Special Class

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Elimu ya bure Kuhusu Solar Power


 
Nina tecno p9 imezima yenyewe yenyewe tatizo nini Mkuu nikiichaji aioneshi dalili yoyote ya kuwaka
Mkuu mwija,unaweza kutoa maelezo yanayojitosheleza ili upate msaada wa uhakika?
Ilizima ikiwa ipo kwenye charge au la?
Ukiwasha inaonyesha nini?
Ukicharge inaonyesha nini?
Betri linaonyesha kuwa lina charge (yaani lipo zima).
 
Kuna mada ilkua inasema..msaada:computer inaposema window is not genuine....ilielezewa kwa uzuri sana na wadau....nakuomba uiweke hapa mkuu maana nimeitafuta bila mafanikio yoyote!!
 
Kuna mada ilkua inasema..msaada:computer inaposema window is not genuine....ilielezewa kwa uzuri sana na wadau....nakuomba uiweke hapa mkuu maana nimeitafuta bila mafanikio yoyote!!

Tayari mkuu nimeshaiorodhesha, nimeona iliunganishwa HAPA
 
mkuu kuna mada ile ya ku unlock simu zile ambazo huwa zinakuwa zimelockiwa na kampuni za simu kama tigo voda au airtel.

kama sikosei iliandikwa na Mwl.RCT au mtu anaitwa power
 
na kuna topic kama mbili tatu.au nne hivi zinazo husu jinsi ya kuunlock modem za huawei nakumbuka ni topic za kitambo sanalakini kuna baadhi ya modem zilishapatiwa suruhisho ni vizuri ukaziweka pia.
maana zoshakuwa solved
 
Back
Top Bottom