Nyuzi kali za muhimu JF Tech 2013

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Wadau wote wa jukwa hili mtusaidie kuweka hapa nyuzi za muhimu zilizotokea kwenye jukwa hili kwa mwaka 2013. Najua kuna ambazo zipo Sticky ila hizo tumezizoea na zinaboa. Tafadhali tumia uzi huu kwa manufaa ya wengine kwa kuweka hapa thread unayoona ilikuwa inafaa kuwa sticky lakini haikupata nafasi.

KAMA UNAWEKA THREAD YAKO BASI HAKIKISHA ISIWE INATANGAZA VITU KAMA BIASHARA YAKO NA VINGINE VINAVYOHUSIANA.

USIWEKE MAELEZO MENGINE TOFAUTI NA LINK YA THREAD HUSIKA. THREAD UTAYOWEKA LAZIMA IWE YA MWAKA 2013.

Ok. Naanza mimi na hii naendelea kutafta nyingine nikipata naongeza hapa:

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...jamiiforums-na-tips-nyengine-za-kusearch.html

​
 
Ili uzifanyaje kama unataka susome wewe tu tukuwekee ili iweje sasa
eleza kiundani zaidi
kama haujui kusearch sema tukuelekeze kwa njia simple tu
 
ili uzifanyaje kama unataka susome wewe tu tukuwekee ili iweje sasa
eleza kiundani zaidi
kama haujui kusearch sema tukuelekeze kwa njia simple tu
Hivi baadhi ya wabongo mbona niwagumu kuelewa, sasa unasema kama hajui kusearch umuelekeze ili iweje, this is a compilation ya thread kali za mwaka 2013, itamsaidia yy na watu wote kwa ujumla, actually itasimplify mbaya!, Grow Up! High Vampire

wickerman Kuna watu wao wanataka kila jukwaa wawepo!
.
Matokeo yake ni kama hayo!
 
Last edited by a moderator:
Ili uzifanyaje kama unataka susome wewe tu tukuwekee ili iweje sasa
eleza kiundani zaidi
kama haujui kusearch sema tukuelekeze kwa njia simple tu

Una Usingizi?.
.
.
Nyasiro twendelee bwana na uzi wetu
.
 
Last edited by a moderator:
Topic: Jifunze Kufunga Satellite Dishi 1 lnb 6
Date: 20th January 2013
gcgt.jpg
 
afadhali ata uyu kanitaja... blog zingine wamefikia hata kusema eti ni post yao...

.
Duu watu wanatisha,
.
Under keybord c6,
ukatulia, ili kuwasaidia watu,
nao waweze kujua nin cha kufanya,
Lakini kuhusu PC,
.
Lakin watu wanataka waonekane ni over keybord kwa Cntrl + C > Cntrl + V
.
.
 
Back
Top Bottom