Nyuzi kali za muhimu JF Tech 2013

.
mfano mimi C++
naweza sana siasa,
ila mambo ya afya siyawez basi nntataka nikaonekane nami naweza mambo ya afya.
Kama hujanielewa we unatisha..

me nimekusoma mkuu, ila kuwepo majukwaa tofauti tofauti inaweza kuwa ni njia ya kujifunza pia na kuchangia pale ambapo unauelewa napo na ninaamini sipo peke yangu.
 
me nimekusoma mkuu, ila kuwepo majukwaa tofauti tofauti inaweza kuwa ni njia ya kujifunza pia na kuchangia pale ambapo unauelewa napo na ninaamini sipo peke yangu.

.
upo sahihi, tena sana tu, hapo kwenye mstari,
ila angalia utumbo alio uandika jamaa pale juu,
isingekuwa ban,
unadhan mwanzisha thread ange mjibu nin huyu jamaa,
hii inamaana tuchangie tunachoona, kinafaa, ila co kukulupuka tu...
1
 
Back
Top Bottom