Nyuso zisizo na furaha kwa wakazi wa Dar

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
1,342
1,291
Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.

Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau.
 
Ila Dar usafiri wa daladala shida aisee
wewe fikiria mtu umetoka kazini umechoka saa 11 jioni umekaa kituoni Sim2000 zaidi ya saa zima unahangaika kupata daladala ya kwenda tabata kimanga kila zikija zimejaa
umestruggle ukadandia na siti umekosa, umeshikiria bomba hadi tabata bima njiani umekutana na foleni za kufa mtu, NAOMBA NIAMBIE HIYO NURU UTAKUWA NAYO USONI?

hapo sijaweka changamoto ulizokumbana nazo kazini/kwenye biashara zako, mara mamakonda awalazimishe kuoga,
 
Bora uje uku kwetu Tarime ni vicheko tu full time
 
Jf raha sana, kila mtu anatoa tangazo lake ki namna fulani hivi hasemi wazi kuwa amehamia Dar na anamiliki ndinga kali pia anamaisha mazuri mademu wamfate ila anatumi indirect way
Nije Kutafuta Demu Jf? Hapana, Halikua Lengo Langu Hilo, Sijawahi na Haitakaa Itokee Nikatafuta Mwanamke Kwenye Social Media
 
Ila Dar usafiri wa daladala shida aisee
wewe fikiria mtu umetoka kazini umechoka saa 11 jioni umekaa kituoni Sim2000 zaidi ya saa zima unahangaika kupata daladala ya kwenda tabata kimanga kila zikija zimejaa
umestruggle ukadandia na siti umekosa, umeshikiria bomba hadi tabata bima njiani umekutana na foleni za kufa mtu, NAOMBA NIAMBIE HIYO NURU UTAKUWA NAYO USONI?

hapo sijaweka changamoto ulizokumbana nazo kazini/kwenye biashara zako, mara mamakonda awalazimishe kuoga,
Umenena Jambo
 
Habari Za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau
Ungewauliza
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom