Nyungu za kufukiza zinapopewa thamani kuliko neno la Imani

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Kuna kitu hakipo sawa, Ni dhahiri wiki ya nyungu ilipewa thamani kubwa na viongozi hata vyombo vya habari vilitangaza na kusifia ufukizaji wa nyungu bila gharama zozote

Siku za kuabudi, kuomba na kusifu haikupewa nguvu kabisa

Zaidi msikie huyu
 
Chadema kama chama tawala mnabidi mjitathimini kama , mnataka kuendelea kuliongoza Taifa letu la hasari na maziwa
 
Kui
Kuna kitu hakipo sawa, Ni dhahiri wiki ya nyungu ilipewa thamani kubwa na viongozi hata vyombo vya habari vilitangaza na kusifia ufukizaji wa nyungu bila gharama zozote

Siku za kuabudi, kuomba na kusifu haikupewa nguvu kabisa

Zaidi msikie huyu

Kujifukiza na kuomba yote hayo ni tapatapa ya cccm baada ya kubugi step pale mwanzoni. Tuliwashauri wafunge viwanja vya ndege corona isiingie wakajidai wanapenda uchumi zaidi kuliko maisha ya watu, ndio sasa wanakuja na mbinu mbalimbali za kisaikolojia za kuwatuliza watu. Hakuna serikali inayolaumiwa kwa kuchukua hatua mbovu dhidi ya corona Africa nzima kama serikali hii.
 
Back
Top Bottom