Nyumbu wote wa Tanzania wapigwe mihuru moto ya utambulisho

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
Nyumbu wote wa Tanzania wapigwe mihuru moto kuwatambulisha na nyumbu wa Kenya. Uzio ujengwa kuzuia nyumbu kuhamia Kenya kiholela. Maliasili kutoa vibali maalum kuruhusu nyumbu kuhamia Kenya kwa muda msimu wa malisho. Nawasilisha. Hapa kazi tu. Nyumbu oyee!
 
Hujui nature inavyofanya kazi zake, ungesema jamani naomba kueleweshwa kwa nini.........................tungekuelewesha
 
Mkuu hapo ni nature na mambo ya Ecosystem ndo yanafanya kazi, kwa nini usijiulize kuwa nani uwambia wahamie upande huu (Tanzania) au ule( Kenya) make hawachungwi hao, sasa ujiulize wanajuaje kwamba msimu wa kuhamia huku umefika?
 
Back
Top Bottom