Nyumbani ni nyumbani hata kukiwa juu ya paa ya nyumba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumbani ni nyumbani hata kukiwa juu ya paa ya nyumba!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 17, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  SUMBAWANGA

  [​IMG]Kisima cha maji ya kunywa, kupikia na kufulia, na wala hayachemshwi, yanawekwa kwenye mtungi then yananywewa bariiiiiidi kabisa
  [​IMG] Wanategemea Ng'ombe kwaajili ya kulima mazao

   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mazee umenikumbusha mbali sana na hayo maji yakiwekwa kwenye mtungi yanapoa kisawa sawa n sikuwa na hofu ya kupinduka wala kuhara wala nini..
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Dah swanga, ntarudi tena mungu akipenda, nikiona picha hizo inanikumbusha mbali sana, pale town maeneo km Katandala, jangwani, izia, chanji, bangwe, sumbawanga wenyeji kule, kizwite, mazwi, hahahaha nchi hii bana nzuri sana ila wana MTANDAO wanaiharibu sana.Kule ukilima mahindi yakifika steji ya mahindi mabichi yale mabua yake yanaliwa kama miwa wanaita MIGAGI. utakuta mtu kaenda shamba kakata fungu kubwa eti anapeleka home kula na watoto hahahaha.Nakumbuka enzi za Mwalimu kulikuwa na Tajiri mmoja anaitwa Bhojak mitaa ya jangwani pale, Kulikuwa na singa singa flani maridadi sana na engineering company yake ya kujenga majengo akiitwa Bainz, pale mpango kabambe wa maji kulikuwa na kota za wazungu nadhahi ni wa denish au swedish wale walikuwa wana kauwanja kao ka tennis basi tunapita pale kuokota mipira ya ile ya long tennis inayotoka nje ya fence. Nilikuwa naishi maeneo ya regional Block kule basi hawa wazungu walikuwa kila jioni lazima wafanye jogging kuelekea king'ombe na kurudi. Nawakumbuka sana mzee Mzindakaya na Paul kimiti hawa wazee ni wa long time mno. DAH One day Ntarudi nawakumbuka sana friendz wangu wa school pale jangwani miaka hiyoo
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ebwana ee karibu sana mkuu, Sumbawanga imebadilika kimtindo sio ile uliyoiacha. MIGAGI mkuu bado ipo, nikutajie mitaa mingine iliyoongezeka hapo mjini ni Kisiwani na edeni, ila mitaa kama Kantalamba na Kizwite imejengeka vibaya mno! Karibu mkuu Chimunguru.
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Je hapo inawezekana ikawa ndio kijijini kwa kiongozi wa serikali anaetaka watu wasivae suti wakati yeye akiwa Geneva anatinga na three piece!!
   
 6. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du umenikumbusha maisha ya kantalamba secondari mitaa ya chanji kwenye vibanda vya video usiku nje tangazo la picha ya vandame ndani pilao kiulainiiiii I wish I could turn back the hand of time!
   
Loading...