Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUMBAKALA, Jul 22, 2011.

 1. L

  LUMBAKALA Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yap wandugu wapendwa habari kwa ujumla.Mi niko poa yani mzuri kwa sana.Nilipotea sasa nimerudi baada ya kuibiwa simu yangu ambayo niliitegemea kwa mambo ya internet na halafu nikawa shamba huko kijiji ndiyo maana sasa nimerudi tena baada ya kushindwa kuwa ndani ya mtandao kwa muda mrefu.Nimekumbuka nyumbani ndiyo maana nimerudi naomba mnipokee magreat thinkers wote na uongozi mzima wa jamii forum tupo pamoja
   
Loading...