Nyumbani leo tumeletewa TV. Sisi ni matajiri

Makimuda255

Senior Member
Jul 31, 2020
165
286
Kweli nimefurahi sana jamani, turikua tunatamani tuwe naTV sasa reo dada yetu anakaa uko Mpanda mjini kaleta TV. Kweri tumefurahi sana nilikua hadi nakenda humo mjini kule vibanda unaripia pesa ndo unaluhusiwa kuangaria

Leo dada ameleta TV nina fulaha sana kweli sasa hivi kwetu nasisi ni matajili maana tunauyo TV maana baba Ramla alituonea sana na TV yake ukienda kuangalia hadi unaambiwa ukae chini ili tu uangalie TV

Umeme REA unapita huku kijijini week mbili zijazo na sisi tutaangaria na sasa ni matajili maana tuna TV Alipiga picha ii ikiwa apo mpanda kanirushia kwa blue maana simu yangu ina uwezo mdogo

FB_IMG_15963869920653359.jpeg
 
Narudi nyumbani nakuta kuna JVC K series ya inchi 14 ipo mezani furaha yake hadi nilivua shati ili niangalie c2c kwa nafasi.

Rimoti anashika kaka tu wengine wote hatujui. Kuna siku nikakorokochoa nikaweka kichina hehehehehe ndugu yangu hiyo tv usibonyeze kama hujui muite hata mjumbe au diwani awe anakubadilishia channel na kuongeza sauti
 
Duh, c2c?
 
Kweri nimefurahi sana jamani,turikua tunatamani tuwe na tivii sasa reo dada yetu anakaa uko mpanda mjini kareta tv
Kweri tumefurahi sana nirikua hadi nakenda umo mjini kure vibanda unaripia pesa ndo unaluhusiwa kuangaria
Reo dada amereta tv nina fulaha sana kweri sasa ivi kwetu nasisi ni matajili maana tunauyo tivi maana baba ramra arituonea sana na tivi yake ukienda kuangaria hadi unaambiwa ukae chini iri tu uangarie tv
Umeme rea unapita huku kijijin week mbiri zijazo na sisi tutaangaria na ss sasa ni matajili maana tuna tivi Aripiga picha ii ikiwa apo mpanda kanirushia kwa brututh maana simu yangu ina uwezo mdogo

View attachment 1525214
Huu uzi nmeusoma nikiwa na watu fln wananionaga serious sana lkn wameshangaa kuona nacheka peke yangu wakadhan nimechizi daaah
 
Back
Top Bottom