Nyumbani kwa Shemeji raha sana

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Siondoki tena chaneli ya sinema zetu nzuri sana
tapatalk_1541606440529.jpeg
 
Mchezaji wa timu fulani anaitwa Bomba baada ya kocha msema ovyo kumkataa. Hapa anawaza safari ya Congo.
 
Unajisikiaje asubuhi wakati upo kwenye couch hapo, halafu dada yako anatoka na kanga akimsindikiza shemeji yako kuoga huku kavaa taulo tu, na mashine ipo dede kama kipande cha kuni.
 
Sa sijui raha iko wapi hapo sababu akitokea mwenye nyumba lazima asimangwe kwa kuweka hiyo miguu juu ya meza cha zaidi ataambiwa subiri uwe na yako ndio uweke hii utavunja.. 😀😀😀
Raha zake ni pamoja na kusimangwa!
 
Back
Top Bottom