Elections 2010 Nyumbani kwa Mbowe

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Wandugu, baada ya kuhakikisha ushindi mjini Arusha, leo tarehe 28 October, Mbowe atakuwa Jimboni kwake kurejesha taarifa ya kazi ya ukombozi aliyotumwa na wana Hai.
Ungependa kujua jambo gani toka kwake?
Kwa taarifa zaidi na picha nitaweka baadae.
 
Mkuu unawahi mapema hata hakujapambazuka, Fuya hanunui kadi za kupigia? Liangalieni sama maana nasikia tarime mama kabaka ananunua sana kadi. Tukiwakamata peoplessss power itawaangukia
 
Niko maeneo ya uwanja,mkutano ni saa tano ila watu wameshaanza kujiandaa kufika eneo la tukio mapema. Kila mtu anachakarika kumalizia shughuli zake.
Fuya arudi tu kulima nyanya. Picha baada ya mkutano kuanza.
 
Tunamshukuru alipokuja hapa kwetu Arusha jana ila mimi ni mzaliwa wa huko Hai. Mi nawakilisha huku ninyi niwakilisheni vizuri jamani kwani nimejiandikisha huku. Nimejaribu kumpigia mama huko Hai wampe kura zoote
 
Mambo mazuri hayataki haraka...........kamua wana chadema tupo pamoja ila tu ulindaji wa kura ndiyo kitu cha msingi kilichobakia.................
 
Wandugu, baada ya kuhakikisha ushindi mjini Arusha, leo tarehe 28 October, Mbowe atakuwa Jimboni kwake kurejesha taarifa ya kazi ya ukombozi aliyotumwa na wana Hai.
Ungependa kujua jambo gani toka kwake?
Kwa taarifa zaidi na picha nitaweka baadae.

mchakato mwema kwa wana hai tho najua hampati kitu...
 
Back
Top Bottom