Nyumba Zinapangishwa

Hii nyumba nzuri sana..ina hadi parking,ama kwa hakika picha yavutia
 
Waou amazing , mimi nimependa location yake tu na hasa ule mnazi pale uwani, ( till when we have to tell you to always pics on adds? )
 
Naona umeipiga plasta ya kizushi,afu huyo mlinzi wa ULTIMATE SECURITY hapo geti kubwa mngembadilishia mavazi yamechakaa sana.
 
Kweli ni nzuri,naona kwenye picha hapo kuna mazingira mazuri sana,naona na police pembeni hapo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom