Nyumba zinapangishwa Tabata kimanga

Nyumba mbili zenye vyumba viwili vya kulala kila moja, jiko,sebule,choo na bafu vya public. Kila nyumba inajitegemea LUKU na ni mpya.
Zipo Tabata kimanga ukiulizia bonde la mchicha karibu kabisa na kanisa la KKKT tabata kimanga.

Kwa mawasiliano piga 0777 133197

Uneweka na kodi kabisa ndugu yangu.
 
Nyumba mbili zenye vyumba viwili vya kulala kila moja, jiko,sebule,choo na bafu vya public. Kila nyumba inajitegemea LUKU na ni mpya.
Zipo Tabata kimanga ukiulizia bonde la mchicha karibu kabisa na kanisa la KKKT tabata kimanga.

Kwa mawasiliano piga 0777 133197

Tupe na bei anataka kw miezi mingapi na hapo penye red ni kwamba nyumba zote 2 wanatumia bafu na choo kimoja ama kila nyumba na bafu lake na choo chake lakini ni vya jumuia? na je viko ndani ama viko njee
 
swala la msingi ukituwekea bei hapo itakua imetulia, pia ukijibu swali la mshikaji hapo juu nayo pia itakua imetulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom