Nyumba zinapangishwa mbezi

The wan

Member
Jul 4, 2011
37
2
02042012353.jpg 02042012349.jpg 02042012347.jpg

maelezo: Iko ndani ya fensi, ina vyumba viwili, sebule, jiko la ndani na choo cha ndani.ina sakafu ya tiles, madirisha ya aluminium. Kuna tenki kubwa la maji ndani la lita 10,000, maji si tatizo. Usalama ni mkubwa, iko pahali tulivu kabisa.parking ipo na kubwa. Ni mpya.

Mahali : Mbezi makabe kwa mzungu, unashukia mbezi mwisho na kuingia ndani kiasi.

Piga simu na. +255 653 777 655, +255 652 752 032 , +255 762 986 611

bei ni Tshs 200,000/= kwa mwezi kwa miezi sita.mahali ni mbezi ya kimara, unashukia kituo kinaitwa mbezi mwisho unaingia ndani km 2.5 na dala dala zipo kutokea hapo mbezi mwisho na unashukia "makabe kwa mzungu". my hope I made it so clear,ni pm kama upo interested seriously.

Haina dalali, mimi ni muhusika wa hiyo nyumba. Hamna middleman hapa so no need to worry here atlast. Wenye nia ya dhati kupanga karibuni
 
mhh huyu dalali anadanganya watu...maji sio tatizo????makabe maji yamefika lini???
 
bei ni Tshs 200,000/= kwa mwezi kwa miezi sita.mahali ni mbezi ya kimara, unashukia kituo kinaitwa mbezi mwisho unaingia ndani km 2.5 na dala dala zipo kutokea hapo mbezi mwisho na unashukia "makabe kwa mzungu". my hope I made it so clear,ni pm kama upo interested seriously.
 
kuna tenki kubwa la maji lita 10,000 ambalo hujazwa na mvua kutokana na system ya maji ilivyo. kwa matumizi ya kawaida hukaa sana
 
sio msakuzi, ni mbezi makabe "kwa mzungu" km 2.5 kutoka kituo cha mbezi mwisho
 
mheshimiwa dalali at work!

muwe mnalipa basi hata commission hapa Jf kwa matangazo yenu, mbona nyie hamumpeleki mteja kuoina nyumba hadi "awafungue miguu"? eti wengine mnaita hela ya usumbufu, usumbufu wakati ndiyo kazi yako! huo ndio wizi wa mchana kweupe!

hahahaaa

umenikumbusha enzi nikiwa napanga. ikiisha hiyo kjiezi 6 ilikuwa kizunguzungu kwelikweli, mwenye nyumba alikuwa anabip kila baada ya sekunde 2! maisha ya kupanga bongo sitakaa nitamani tena. all the best kwa ambao hamjajenga vibanda dsm, mali hiyo live!

chamngamkieni!!
 
haina dalali, mimi ni muhusika wa hiyo nyumba.hamna middleman hapa so no need to worry here atlast. wenye nia ya dhati kupanga karibuni
 
View attachment 47344 View attachment 47345 View attachment 47346

maelezo: Iko ndani ya fensi, ina vyumba viwili, sebule, jiko la ndani na choo cha ndani.ina sakafu ya tiles,
madirisha ya aluminium. Kuna tenki kubwa la maji ndani la lita 10,000, maji si tatizo. Usalama ni
mkubwa, iko pahali tulivu kabisa.parking ipo na kubwa. Ni mpya.

Mahali : Mbezi makabe kwa mzungu, unashukia mbezi mwisho na kuingia ndani kiasi.

Piga simu na. +255 653 777 655, +255 652 752 032 , +255 762 986 611

nyumba haina dalali, served on a first come basis. KARIBUNI
 
PICHA ZAIDI.....

1. hapa zinavyoonekana kwa nje kutokea barabarani kwa upande wa kulia na kushoto.

Image0020.jpg Image0022.jpg
2. hapa ni kwa muonekano ndani ya geti.

Image0023.jpg Image0025.jpg
(kwenye hilo bomba ni karo la maji safi yanayojazwa na mvua kupitia mfumo maalumu wa kuyateka maji na kujaza kwenye hilo karo safi. Lina zaidi ya lita 10,000 likiwa limejaa kabisa. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza adha ya maji iliyopo maeneo haya. Maji hukaa muda mrefu sana kwa matumizi ya kawaida nyumbani)

3. hapa ni muonekano wa ndani ya nyumba.

Image0030.jpg Image0033.jpg Image0035.jpg Image0036.jpg
  • nyumba haina dalali
  • ni mpya ndo zimejengwa
  • bei ni Tshs 200,000 kwa mwezi
  • ina private parking kubwa na ni salama
  • KARIBUNI wenye nia ya dhati,hali ya nyumba ni kama picha hapo juu zinavyojieleza(samahani zingine hazionekani vizuri sana)
 
Attachments

  • Image0024.jpg
    Image0024.jpg
    554.1 KB · Views: 51
  • Image0028.jpg
    Image0028.jpg
    528.6 KB · Views: 55
  • Image0038.jpg
    Image0038.jpg
    147.2 KB · Views: 57
Ndani safi, nje dah!...vumbi tupu! Tuwe tunaweka mazingira yenye kuvutia basi wakuu ili kuongeza thamani ya nyumba na mazingira bora ya kuishi....au MAJI UTATA!!!
 
Back
Top Bottom