Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

Watu wamenunua nyumba ina kiwanja heka moja Oysterbay kwa millioni ndogo tu.
 
Shemeji angu alinunua nyumba huko mill tatu karibu na shule ya chumbageni daah kunawatu wana bahati sana, nyumba ya maana ipo pazuri tu.

Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi...

Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)...
 
Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi...

Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)...

Watu walifaidi sana, wale wa pale Gerezani palipo jengwa mwendo kasi ndio wana bahati mbaya sana sana sana.

Walilala maskini wakaamka matajiri alafu waka lala matajiri wakaamka maskini tena hahahahaaa.
 
Back
Top Bottom