Nyumba za Vijijini, Udongo na Nyasi hazihusiki na kodi ya Jengo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
"Naomba niweke wazi wananchi wasiwe na taharuki nyumba za Vijijini haziko katika mpango wa kutozwa kodi ya majengo vile vile nyumba zilizojengwa kwa vifaa ambavyo sio vya kudumu kama zile udongo zilizoezekwa kwa nyasi hazihusiki na kodi ya majengo" Mkurugenzi Richard Kayombo.

"Kwa wale wanaoishi kwenye ghorofa kwa upande wa chini atalipa Tshs 60,000 kwa mwaka au ni 5000 kwa mwezi na floo ya kwanza ni hivyo hivyo. Kwa nyumba ya chini iwe na vyumba 12, viwili au kimoja itakuwa ni Tshs 12,000 kwa mwaka ambayo ni Tshs 1000 kila mwezi"

"Wananchi wanapolipa kodi ni sharti wajulishwe kwamba kodi imekwenda kufanya nini? kwa sababu wananchi wanauliza kwanini walipe kodi? wanalipa kodi kwa sababu inaenda kuleta Maendeleo" - Mkurugenzi wa Huduma na Elimu Kwa Mlipakodi Richard Kayombo.
 
Wao TRA wanawezaje kujua aina la jengo lililopo kama ni la kudumu au lah
 
Richard Kayombo,Waeleweshe watanzania, tanesco imeweka utaratibu Gani kwenye mfumo Yao ya luku ya kutambua nyumba ya nyasi yenye luku au ghorofa lenye luku?
 
Cha kushangaza mwandishi hajauliza hilo swali.
Watatambuaje hii luku ni ya nyumba ya udongo?
 
Back
Top Bottom