Nyumba Za South Africa kweli ni Bei Rahisi?

boja

Member
Nov 8, 2012
74
189
Natumai wanajamvi baada ya weekend ndeeefu kua ukingoni na kesho tunaendelea na majukum kama kawaida
Jamani mie nina Swali langu kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo Juu.
Hizi Nyumba za Soth africa ambazo Naoana Diamond na Doctor Mwaka wamenunua uzuri wake na Bei kama haviendani kabisa...ama ndo kusema kule bulding material zipo chini?
Ama ndo kusema hizo nyumba ni old fashioned?
Ama ndo kusema sisi bongo hua tunapigwa?
Na je kuna uwezekano wa pesa hio ilio nunua hiyo mi Bangalooo South inaweza Jenga Bangaloo kama hilo Bongo ama kununua Bangaloo kama hilo.
1.Doctor Mwaka nyumba yake ni Milion 500 za kitanzania.
2. Diamond ni Milion 369 za kitanzania.
Jamani tueleweshane na mlio na uzoefu wa Real Estate tupeni maujanja.
Screenshot_2016-12-12-21-00-08.png
Screenshot_2016-12-12-21-01-19.png
 
Tuanze na wewe mleta mada,una nyumba hapa tz au umepanga nyumba,vyumba au chumba au bado upo kwa wazazi au shemeji?
Ukijibu hapo ndipo tuanze kujadili masuala ya kununua nyumba s.africa
 
Mimi ninacho jua ni kuwa pamoja na uzuri unaouona lkn material yanayotumika kujengea huwa ni rahisi sana. Unakuta sehemu kubwa ya nyumba ni mbao za bei chee. Ila walicho nacho na technology ya hali ya juu.
 
Tuanze na wewe mleta mada,una nyumba hapa tz au umepanga nyumba,vyumba au chumba au bado upo kwa wazazi au shemeji?
Ukijibu hapo ndipo tuanze kujadili masuala ya kununua nyumba s.africa

dah tunasafari ndefu sana, sasa hilo ndio jibu la swali liloulizwa?
 
South africa nyumba ni bei rahis sn ukilinganisha na Tanzania tena zinaubora wote unao hitajika kujenga nyumba miondombinu yote ipo sawa sawa

Sasa cjui kwanin Tanzania mnauza nyumba bei kubwa ni kwa ajili ya nn? Hadi leo watu wenye akili timamu hawajapata jibu kwanini nyumba za Tanzania hasa Dar es salaam bei kubwa .

Tena hazina ubora wowote kutokana na miundombinu yenyew na sehem kubwa ni slum na bei juu .
 
Tuanze na wewe mleta mada,una nyumba hapa tz au umepanga nyumba,vyumba au chumba au bado upo kwa wazazi au shemeji?
Ukijibu hapo ndipo tuanze kujadili masuala ya kununua nyumba s.africa
Kwa mantiki hii unataka kusema tusijadili usivyovimiliki au vitu ambavyo wewe si mdau kwa mfano usijadili siasa za Kenya au Uganda kwavile hata huku kwako si mwanasiasa si ndio hoja yako .............???
 
Itakusaidia nini?
 
South africa nyumba ni bei rahis sn ukilinganisha na Tanzania tena zinaubora wote unao hitajika kujenga nyumba miondombinu yote ipo sawa sawa

Sasa cjui kwanin Tanzania mnauza nyumba bei kubwa ni kwa ajili ya nn? Hadi leo watu wenye akili timamu hawajapata jibu kwanini nyumba za Tanzania hasa Dar es salaam bei kubwa .

Tena hazina ubora wowote kutokana na miundombinu yenyew na sehem kubwa ni slum na bei juu .
Kwa Dar sehemu kama Magomeni milioni 500,hata kibanda kilichopo sehemu ambapo gari haifiki hupati kwa hela hio. Utaambiwa visenti vyako mpelekee demu wako akapange chumba kinondoni.
 
Hata ukiuziwa sh mia nyumba S.A gharama za maisha utajuta. Labda target yako iwe kupangisha.
 
Back
Top Bottom