Nyumba za NHC Dar

Msolopagazi

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
663
153
Jamani nimeona NHC wakitangaza kufukuza wapangaji wenye madeni sugu sasa wameanza na makampuni na mashirika yasiyolipa kodi muda mrefu
pia wamedhibiti uuzaji wa nyumba kati ya mpangaji na mpangaji je nikitaka nyumba Dar nitapata? na ni kwagharama gani? na niende wapi na nimuone nani au Msechu anajifagilia ukienda NHC ukiritimba bado upo?Nawasilisha
 
NHC wanfanya kazi nzuri... na wewe kama unataka nyumba nenda ofisi zao, huna haja ya kuanzia kwa Msechu, sidhani kama yeye ni NHC estate manager au sales manager

fika ofisi zao wakupe utaratibu, wakidai rushwa nenda TAKUKURU au polisi
 
Back
Top Bottom