DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,452
- 99,075
Baada ya wasichana wengi kwenda university kule mnakutana watu tofauti. Hata wazazi wao wakiwakataa mnaweza kuishi kwa mishahara yenu.
Ninakumbuka No Longer at Easy Okonkwo aliporudi Nigeria kutoka Ulaya alitaka kumuoa mwanamke anaevaa magauni na anaejua kupikia gas cooker, Wazazi walimtaarishia mchumba anaevaa wrapper (vitenge) ambae hajui hata gas cooker ni nini.Yeah....
Hata waafrika tulikuwa na hii class ya kuoana wenyewe kwa wenyewe nikimaanisha kabila na kabila na watoto hawakukaidi maana huna mahala utapata mwanamke umtakaye zaidi ya ulioishi nao kwenye kijiji kimoja au vijiji jirani vinavyoshirikiana.
Baada ya watu kuanza kutoka na kusoma shuleni na vyuoni ndo ikapunguza classes, mmatumbi anaolewa na mmakua.
Hapo mzazi mwenye sauti/nguvu ndo atakuwa kila likizo anapeleka wajukuu kwao. Muingiliano wa koo umeua Family culture inheritance, manners and sort of from one generation to another.
Kate ndiyo alikutana ana na William chuoni.
Hii story ni sahihi lakini si Meghan ni Kate. Huyu Mswahili wetu anaechamba wakwe zake kwenye TV alikutana na Prince kupitia marafiki.Ooh kumbe, basi nilipata stori chaka kuwa...
Meghan aliahirisha mwaka aingie chuo mwaka unaofuata baada ya kuona majina ya wanachuo waliokubaliwa kujiunga na chuo mwaka unaofuata mmoja wapo ni Prince.
Na mwaka uliofuata alihaha hadi akapata chumba cha hostel karibu na Prince ili aweke ukaribu na kujenga urafiki.
Kumbe ilikuwa ni Kate, thanks for clarity.
Ninakumbuka No Longer at Easy Okonkwo aliporudi Nigeria kutoka Ulaya alitaka kumuoa mwanamke anaevaa magauni na anaejua kupikia gas cooker, Wazazi walimtaarishia mchumba anaevaa wrapper (vitenge) ambae hajui hata gas cooker ni nini.
Hii story ni sahihi lakini si Meghan ni Kate. Huyu Mswahili wetu anaechamba wakwe zake kwenye TV alikutana na Prince kupitia marafiki.
Wine cellarView attachment 1783251
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.
Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.
Juu ilikua ni vyumba vya kulala.
Wengi walioishi maisha haya ni wafanyabiashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.
Huyu ni bibi wa malkia ElizabethSijawah msikia huyu alihudumu katika karne ya ngapi?
Kuezeka kwa tiles msingi ni lazima uwe imara, ni kama unajenga nyumba nzima ardhini. Wengi wetu budget ya kujenga ni hizi milioni tano za hapa na pale unaunganisha.Hiyo ndiyo wanaita gothic architecture? Ila wazungu wanajua sana kujenga na tutofali twao tule tudogo. Wabongo ni wapanga tofali tu. Juu wanapiga tiles ambazo hazivuji miaka na miaka na ni rafiki kwenye joto na baridi. Dar wangekuwa wanaezekea tiles wangekuwa hawalalamiki joto kabisa.
Na kama mdau alivyosema huko juu, mighorofa haieleweki na mialuminium iliyokosa class, mi naona kama mialuminium ni ushamba kabisa. Wenzetu wanajua sana kujenga.
We Kasie!Like huko basement ni vyumba vya kulala wafanyakazi??
Mie nilivyo mfyekuneku... nyumba yangu mwenyewe halafu nisifike eneo hilo sababu ni classes mweeeh bora tuu nnavyokaa huku mbagala chumba kimoja unafika pande zote za chumba
We Kasie!
Umenichekesha sana Mkuu!
OkView attachment 1783251