Nyumba za matajiri enzi za Malkia Victoria

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,857
2,000
1620907292163.png

Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.

Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.

Juu ilikua ni vyumba vya kulala.

Wengi walioishi maisha haya ni wafanyabiashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,380
2,000
1. Huwa natamani kuamsha mjengo wenye muonekano huo au muonekano wa majengo ya zamani yaliyoko huko kwa malikia hata kama sio kwa ukubwa huo. Mdau mmoja akasema yanamuonekano wa mahekalu 😂😂

2. Najiuliza kwanini watu wamekomalia maghorofa ambayo kumwonekano ni kama yote yanafanana yani ni vioo kqemda mbere wao wanaita aluminiamu

3. Kwanini nyumba zetu zilizo nyingi tunabandika vioo vyenye muonekano sawa yaan vya ku slide hakuna dizaini nyingine?
 
Walitumia vioo kujikinga na baridi, hata nyumba walizojenga India kipindi hiki walitumia madirisha ya mbao kwasababu ya hali ya hewa.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,922
2,000
View attachment 1783251
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller, jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.

Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.

Juu ilikua ni vyumba vya kulala.

Wengi walioishi maisha haya ni wafanya biashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.
Inatusaidia nini?
 
Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,245
2,000
Aliapishwa 1837, katika utawala wake British Empire ilienea sana Afrika, New Zealand, na Australia. Baada ya kuapishwa kwake 1837 mwaka uliofuata British Empire ilitangaza kukomesha biashara ya utumwa katika himaya zake.
nasikia ni mmoja wa malkia wenye umri mdogo kwa kipindi hicho na mwingine alienda mbali zaidi kuwa kifo chake kilikuwa na utata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom