Nyumba za kuwauzia walala hoi wa NSSF ni Sh200 Milioni

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Zile nyumba zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwauzia wanachama wake kwa bei nafuu ziko tayari, gharama halisi ni kati ya sh200 milioni na sh260 milioni. Benki ya CBA imeteuliwa na NSSF kuwakopesha wanachama waliotimiza marsharti, na mkopo utalipwa kwa miaka 20! CBA itatoa asilimia 90 ya bei kwa riba ya 19.5% na mkopaji akitakiwa kukatwa 45% ya mapato kila mwezi. CBA wameeleza kuwa kwa mfano ukitaka nyumba ambayo NSSF inataka irudishiwe sh90 milioni, utakuwa ukikatwa 1.45 milioni kila mwezi ili kurudisha mkopo kwa muda wa miaka 20. Mbali ya riba, mteja atatakiwa kugharamia masuala ya kisheria, uthamini wa nyumba, uwezeshaji na kuingia mkataba wa bima. Source by Mwananchi: Naam wanafao la kujitoa changamkeni, Ndugu Ramadhan Dau' kaisha wawezesha, nyumba hizo za bei nafuu!
 
shenzi zenu nyie CCM, mnasema nyumba za masikini hizo?
hiki kimshahara mbuzi mnachonipa ni nani awezaye kunikopesha?
Dhambi ya matabaka mliyoiasisi kati ya walio nacho na wasio nacho itawagharimuni hapo 2015.
Namlilia sana Nyerere na Azimio la arusha
Zile nyumba zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwauzia wanachama wake kwa bei nafuu ziko tayari, gharama halisi ni kati ya sh200 milioni na sh260 milioni. Benki ya CBA imeteuliwa na NSSF kuwakopesha wanachama waliotimiza marsharti, na mkopo utalipwa kwa miaka 20! CBA itatoa asilimia 90 ya bei kwa riba ya 19.5% na mkopaji akitakiwa kukatwa 45% ya mapato kila mwezi. CBA wameeleza kuwa kwa mfano ukitaka nyumba ambayo NSSF inataka irudishiwe sh90 milioni, utakuwa ukikatwa 1.45 milioni kila mwezi ili kurudisha mkopo kwa muda wa miaka 20. Mbali ya riba, mteja atatakiwa kugharamia masuala ya kisheria, uthamini wa nyumba, uwezeshaji na kuingia mkataba wa bima. Source by Mwananchi: Naam wanafao la kujitoa changamkeni, Ndugu Ramadhan Dau' kaisha wawezesha, nyumba hizo za bei nafuu!
 
Itafika kipindi kupumua hewa(Oxygen) iliyopo TANZANIA narudia tena T.A.N.Z.A.N.I.A itabidi kulipia mipesa ya kutosha
 
makato ya mwezi 1.4m wakati mshahara wangu ni 450000!jamani mbona tunaonewa hivi!!!
 
Ndugu Dau kawawezesha nini mdau. Ni nyumba ambazo zinajengwa ili zinunuliwe na mafisadi na siyo watanzania hawa wakawaida. Mishahara ya watanzania wengi ni chini ya millioni moja na unatakiwa uwe unakatwa zaidi ya millioni moja......! Ama kweli kwa staili zitaendelea kuibuka EPA nyingi....
 
Zile nyumba zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwauzia wanachama wake kwa bei nafuu ziko tayari, gharama halisi ni kati ya sh200 milioni na sh260 milioni. Benki ya CBA imeteuliwa na NSSF kuwakopesha wanachama waliotimiza marsharti, na mkopo utalipwa kwa miaka 20! CBA itatoa asilimia 90 ya bei kwa riba ya 19.5% na mkopaji akitakiwa kukatwa 45% ya mapato kila mwezi. CBA wameeleza kuwa kwa mfano ukitaka nyumba ambayo NSSF inataka irudishiwe sh90 milioni, utakuwa ukikatwa 1.45 milioni kila mwezi ili kurudisha mkopo kwa muda wa miaka 20. Mbali ya riba, mteja atatakiwa kugharamia masuala ya kisheria, uthamini wa nyumba, uwezeshaji na kuingia mkataba wa bima. Source by Mwananchi: Naam wanafao la kujitoa changamkeni, Ndugu Ramadhan Dau' kaisha wawezesha, nyumba hizo za bei nafuu!

  1. Hapo Dau anavuta kwa CONTRACTOR na kwa BENKI.........NCHI HII SASA KILA MTU DALALI
  2. Halafu TZS 1,450,000/month X 240 months(20 years) = TZS 348,000,000
  3. Wizi ulioje huu? Nyumba uuziwe kwa 90,000,000 na ulipe kwa 348,000,000?
 
Ooooh hii nchi ni ya matajiri marufuku kulalamika, Maskini mda wenu niwakati wa Uchaguzi tutawapa Kanga na Kofia ikiwezekana tutakuwa tunawapikia wali na maharage kama Igunga.
 
  1. Hapo Dau anavuta kwa CONTRACTOR na kwa BENKI.........NCHI HII SASA KILA MTU DALALI
  2. Halafu TZS 1,450,000/month X 240 months(20 years) = TZS 348,000,000
  3. Wizi ulioje huu? Nyumba uuziwe kwa 90,000,000 na ulipe kwa 348,000,000?

Dahh kwa kweli nchi hii inamaudhi sana.
 
wastani wa mishahara ya walalahoi wengi ni 150,000 hadi 200,000 kwa gharama hii nssf wamezingatia nini kwa mfanyakazi huyu kupata mkopo huu wa nyumba ,au wameanza na wale wenye mishahara kuanzia milion na nusu hadi 2m kwa mwezi .naamini wamo humu waje na majibu sahihi kuokoa muda wa kufuatilia kukopeshwa kumbe hukopesheki
 
Back
Top Bottom