Nyumba za kupanga NHC zinapatikanaje?

Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
1,007
1,891
Habari za mida hii jamii.

Hivi shirika la nyumba la Taifa huwa wanatumia utaratibu gani kuwapangia maraia, hatua zipi mpangaji hufuata kupata hizo nyumba?
 
Kuna form za maombi unajaza zinapatikana ofisini kwao na mtandaoni ingawa sina hakika na hili la pili,
Ila kupata hizo nyumba ni ngumu sana ukiwa mbongo utakutana na foleni kubwa, yaan utaambiwa subiri wahame watu na unapewa list iliyoko pending.

Wahindi wao ni easy tuu, wakiomba leo kesho wanahamia
 
Ila kupata hizo nyumba ni ngumu sana ukiwa mbongo utakutana na foleni kubwa, yaan utaambiwa subiri wahame watu na unapewa list iliyoko pending....

Wahindi wao ni easy tuu, wakiomba leo kesho wanahamia

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Fomu tunapata wapi?
 
Kuna form za maombi unajaza zinapatikana ofisini kwao na mtandaoni ingawa sina hakika na hili la pili,
Ila kupata hizo nyumba ni ngumu sana ukiwa mbongo utakutana na foleni kubwa, yaan utaambiwa subiri wahame watu na unapewa list iliyoko pending.

Wahindi wao ni easy tuu, wakiomba leo kesho wanahamia
Wahindi wao wanapataje

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom