balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,690
- 13,578
Nimeshangazwa na labda nisaidiwe. Hzi nyumba za ibada yaani makanisa au misikiti hats kama IPO bondeni kuna haja ya kuibomoa? Kwanza nadhani itatusaidia kupunguza kelele na mafujo bora wakae pekeyao huko na mafuriko yakija wao hawapo. Lkn ifike mahali tufanye tafakar tunduizi; hvi ni kweli hii bomoa bomoa ni ya kihivyo au Luna "behind the scene"