Nyumba za gavana,na manaibu gavana wake zichunguzwe;kama zina madini chini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,096
Wakati dunia ikiendelea kulalaimikia kwa matumizi mabovu serikali ya tanzania
watanzani wenyewe tunaitaji kudai haki zetu;huu ni uhuni aiwezekani nyumba ya gavana kugaramiwa billion moja inatoa dhahabu huko chini??hii aiwezekani serikali,waziri wa fedha,cag hebu tuhabarisheni kwa hili
hili la gavana limeibua kuna siri nyingi nzito juu ya hawa viongozi wa bot.ndio maana najua saasa kwanini wale watoto wa vigogog waliongia bila kuwa na elimu inayotakiwa wako kwenye vyeo vya juu,...hizi ni pesa za watanzania raisi unaitajika kutolea maelekezo aiwezekani gavana anatumia nyumba ya billion 1

waziri wa fedha ataakaa nyumba ya sh billion 5

naibu waziri wa fedha sh billion 3

katibu wa wizara ya fedha billion 2

sasa wakiamua na hawa walioko jikoni kutuchafua tutafika kwa style hii hapo juu,,ee mungu wape roho ya uwoga na unyenyekeu kwa pesa za watanzania

cag
tupeni maelezo sahihi hizo nyumba zinatoa madini huko chini ama mpaka zijengwe kwa bilion 1??

Happy nu yia
 
Back
Top Bottom