Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Kichwa chako kikiota nywele nyingi hukulazimu kuzipunguza, hana mume wala mtoto.
Possibly ipo nguvu ya kiza,how is this madam,can I marry you?
-Yupo dada mmoja tajiri sana hana mume,ameolewa na big snake!,for all of his lifetimes,maamuzi mengine jamani!
 
Salaam Wakuu,

Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada.

Nyumba inayopigwa mnada ni iliyopo Mikocheni na ile ya Arusha.

Je, kwanini Serikali isimsaidie nyumba zake zisipigwe mnada?

Je, nini Kimemsibu Mama yetu huyu?
View attachment 2076927
3
 
Back
Top Bottom