Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,065
- 2,362
Nyumba ipo ubungo kwa bondia, mahali ilipo, ubungo darajani ukifika land mark hotel unavuka bara Bara pia kuna Gari zinazo Enda ubungo kwa bondia, nyumba ipo karibu na barabara na eneo ni lina square meters 782, eneo ni kubwa na ni pazuri, bei ni 90M maongezi yapo, maelezo na picha zaidi nichek kwa 0713415537 au 0684448888