kipusy
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 639
- 321
Poleni kwa msiba wa kuondokewa na Mzee wetu Kingunge Ngombale Mwiru. Nakuja kwenye mada, Nyumba yangu inavuja, mafundi hawakunitendea kazi vizuri na kusababisha nyumba kuvuja hasa kwenye misumali ilipogongelewa. Naomba msaada kwa walio wazoefu na marekebisho ya paa kuvuja NITUMIE DAWA (sealant) GANI ILI KUDHIBITI MIVUJO?
Asanteni.
Asanteni.