nyumba yakupanga inahitajika.

Tearish

Member
Feb 23, 2013
81
30
Iwe maeneo yafuatayo:
Magomeni na isiwe bondeni.
Kinondoni
Sinza
Mwenge
Ilala
Ubungo
NB.nyumba hii itatumika kama ofisi ya kutoa mafunzo ya muziki.
Iwe karibu na stand ya daladala
Iwe ktk hali nzuri.
Ni PM wewe ni muhusika.
Sihitaji dalali.
 
Iwe maeneo yafuatayo:
Magomeni na isiwe bondeni.
Kinondoni
Sinza
Mwenge
Ilala
Ubungo
NB.nyumba hii itatumika kama ofisi ya kutoa mafunzo ya muziki.
Iwe karibu na stand ya daladala
Iwe ktk hali nzuri.
Ni PM wewe ni muhusika.
Sihitaji dalali.

udalali, international recognized work, utasota bila hao watu ushauri wa bure
 
Mimi natangaza (sio dalali) nyumba ya kupanga ipo Kijitonyama kwa Ali maua karibu kabisa na barabara kuu. Bei ya pango ni laki 4 kwa mwezi na unalipa kodi ya mwaka mzima wakati wa ku sign mkataba. Ukitaka kuiona nyumba ni PM nikupatia simu namba

Iwe maeneo yafuatayo:
Magomeni na isiwe bondeni.
Kinondoni
Sinza
Mwenge
Ilala
Ubungo
NB.nyumba hii itatumika kama ofisi ya kutoa mafunzo ya muziki.
Iwe karibu na stand ya daladala
Iwe ktk hali nzuri.
Ni PM wewe ni muhusika.
Sihitaji dalali.
 
Umepata?

Iwe maeneo yafuatayo:
Magomeni na isiwe bondeni.
Kinondoni
Sinza
Mwenge
Ilala
Ubungo
NB.nyumba hii itatumika kama ofisi ya kutoa mafunzo ya muziki.
Iwe karibu na stand ya daladala
Iwe ktk hali nzuri.
Ni PM wewe ni muhusika.
Sihitaji dalali.
 
Back
Top Bottom