House4Rent Nyumba ya vyumba vinne ( Viwili master) inapangishwa Kimara Temboni, bei 350K

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,668
Points
2,000

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,668 2,000
Hii nyumba nzuri kubwa na ya kisasa ina vyumba 4 vya kulala, vyumba 2 ni master bedroom, sebule kubwa, dining, jiko kubwa lenye makabati,store na choo cha familia.Pia ina makabati vyumbani.

Kwenye fensi moja zipo nyumba 2 tena mbali mbali na hii ndio ipo wazi ipo Kimara Temboni upande wa kulia km unaenda Mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.5

Kodi kwa mwenzi ni 350,000 ilipwe kwa miezi 6

Kwa maelezo nichek kwa 0713415537
IMG-20191111-WA0098.jpeg
IMG-20191111-WA0092.jpeg
IMG-20191111-WA0091.jpeg
IMG-20191111-WA0093.jpeg
IMG-20191111-WA0094.jpeg
IMG-20191111-WA0095.jpeg
IMG-20191111-WA0096.jpeg
IMG-20191111-WA0097.jpeg
IMG-20191111-WA0089.jpeg
IMG-20191111-WA0090.jpeg
IMG-20191111-WA0082.jpeg
IMG-20191111-WA0083.jpeg
IMG-20191111-WA0084.jpeg
IMG-20191111-WA0085.jpeg
IMG-20191111-WA0086.jpeg
IMG-20191111-WA0075.jpeg
IMG-20191111-WA0079.jpeg
IMG-20191111-WA0074.jpeg
IMG-20191111-WA0081.jpeg
IMG-20191111-WA0079.jpeg
 

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
940
Points
250

mumak

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2013
940 250
Mkuu chumba Na sebule maeneo ya makongo juu kitàpàtikànà?pawe karibu Na bara barà pia MAJI Na choo cha kujitegemea itakua vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,357,648
Members 519,057
Posts 33,151,420
Top