House4Rent Nyumba ya vyumba 4 inapangishwa. (Kodi 150k)

kwadilo

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
300
250
Natumai tu mu buheri wa afya njema,
Huku tukiendelea kuchukua tahadhari stahiki za kupambana na magonjwa mbali mbali.
MAELEZO:
nyumba inapatikana kitunda.
Ina vyumba vinne, public toilet, dinning room na seating room.
maji√
Parking ya gari 3.
Kutoka stand ya daladala ni dakika 3
Kodi kwa mwezi ni 150,000/ (kuanzia miezi 2+)
MAWASILIANO: 0785 857564

View attachment 1713823
tapatalk_1614504545247.jpeg
tapatalk_1614504548275.jpeg
tapatalk_1614504553908.jpeg
tapatalk_1614504557812.jpeg
tapatalk_1614504561308.jpeg
tapatalk_1614504537093.jpeg
 

Holy Man

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
1,646
2,000
Kweli kabisa, mbona hata nguo na viatu tunaonja kabla ya kununua! Sasa kwanini tushindwe nyumbaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kujaribisha ni muhimu, huwezi uziwa mbuzi kwenye gunia. Unaweza lipa kodi ya miezi 6. Alafu unajikuta unaamkia nje jalalani
 

Okwaaa

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
1,154
2,000
Kujaribisha ni muhimu, huwezi uziwa mbuzi kwenye gunia. Unaweza lipa kodi ya miezi 6. Alafu unajikuta unaamkia nje jalalani
Alafu ukiamkia ck ya kwanza kama ww n mtu wa maji unaweza kuhis huenda ulizidiwa na maji, ila ck ya pili unapatwa na wasiwasi na ya tatu utaita bajaji mapema kabisa kusomba vitu vyako🀣🀣🀣🀣
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom