Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Ukimsikiliza Lukuvi inaonekana wachawi wa Mambo yote wapi pia wizara anayoiongoza.

Angetambaa mpaka Ardhi magomeni Wana njaa Sana wale Land valuer na wapima . Kazi haifanyiki wanasingizia Mara viwanja havijaingizwa kwenye master plan ili mradi uwape rushwa katika wizara inabidi wafungiwe CCTV camera Kama nyenzo ya kupima ufanisi ni Ardhi Magomeni. Wanaendekeza njaa Sana.

Waziri nadhani unafahamu kwamba wizara yako I a shida kubwa inabidi mpaka makamishna unawaowateua wawe Wana inspect kazi huku wilayani wananchi tunasumbuka Sana na rushwa haki yetu tunazungushwa mpaka tujiongeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haendi magomeni pale....
Kuna shida sana aise

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi Sana,huyu lukuvi anajitahidi Sana kwskweli

Kwa kujikita katika migogoro, wakati kwengine duniani Waziri anapigania makazi bora na nafuu kwa wananchi huyu mdingi kila kukicha ni migogoro. Wenzie walijenga makazi kwa mtindo ule wa national housing wapunguze sinema za kumfurahisha mtukufu muda umeenda na hali za wananzengo zinatisha.
 
Nyumbu kweli haachi kuwa nyumbu na nyumbu ameshindwa kusoma na kuelewa kitabu cha Raisi Msaafu wa awamu ya 3 Che Mkapa .
Waziri husika hana maamuzi ya uuzwaji wa Nyumba za Serikali bali Raisi wa Nchi, na kuhusiana na hili jambo likianzia kwa Mr Zero aliye mwambia Che Mkapa kwamba oysterbay itakuwa ya wazungu n.k , ndipo Waziri husika alipotakiwa kuwasilisha cabinet paper on the issue. Na baraza la mawaziri kukubaliana hata kama kuna wachache ambao hawa kuona kama ni sawa au muda wa kupitia hiyo paper ulikuwa kifupi.

..utetezi wako hauna mashiko.

..kama alikuwa hahusiki wizara yake isingeandaa CABINET PAPER na yeye kuiwasilisha kwa mawaziri wenzake.

..pia baada ya cabinet kuamua, kwa kushawishiwa na cabinet paper, alisimamia uuzwaji wa nyumba kwa BEI YA KIFISADI.

..Na ktk kipindi hicho alitoa maelezo ya UONGO ktk vikao vya BUNGE kwamba serikali ilikuwa inapata FAIDA kutokana na zoezi la kuuza nyumba alilokuwa akilisimamia.
 
Luku boy amuagize DCI aunganishie nazile nyumba alizouzaga bwana mkubwa kwa nduguze nk.
 
In a way tukubaliane kutokubaliana

Somo la responsibility kwa Afrika tuko nyuma sana

..kweli kabisa.

..utetezi kwamba " alitumwa " au " alielekezwa" hauwezi kujitosheleza mahali popote.

..askari wa Kijerumani waliokuwa wakilinda makambi ya mateso ya Wayahudi walijitetea kwamba wao walikuwa wakitekeleza maagizo na amri za wakubwa wao, lakini mahakama ilikataa utetezi huo na kuwatia hatiani.

..kilichokuwa kinaendelea ktk uuzaji wa nyumba za serikali kilikuwa ni WIZI / HUJUMA / UFISADI / MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA. Mtu yeyote mwenye akili za kawaida tu asingeshindwa kufahamu ukweli huo.
 
..utetezi wako hauna mashiko.

..kama alikuwa hahusiki wizara yake isingeandaa CABINET PAPER na yeye kuiwasilisha kwa mawaziri wenzake.

..pia baada ya cabinet kuamua, kwa kushawishiwa na cabinet paper, alisimamia uuzwaji wa nyumba kwa BEI YA KIFISADI.

..Na ktk kipindi hicho alitoa maelezo ya UONGO ktk vikao vya BUNGE kwamba serikali ilikuwa inapata FAIDA kutokana na zoezi la kuuza nyumba alilokuwa akilisimamia.
Naona unaendelea kuongea kinyumbu nyumbu, wewe boss wako akisaidiwa na waziri mkuu wameisha toa maamuzi wewe ni nani kwenda kinyume cha huo uamuzi na je unakumbuka kigezo au vigezo vyao vilikuwa nini?
1. Kupunguza gharama za maintenance ya hizo nyumba.
Ambapo zilikuwa na upigaji na kushindwa kuzi thibiti.
Pili kuwapa motisha wafanyakazi wa serikalini,
Tatu wazawa kuwa na nyumba ktk prime area.
Sasa vitu viko chini ya wizara yake ulitaka aikimbie offisi.
Basi leo hii tusingemsikia ktk nafasi iliyopo, vita vya kisiasa vinahitaji ujipe nafasi ya kupumua amasivyo utaishia bila kutimiza malengo yako.
 
Mkuu kuna nyumba moja ya Bandari inatazama bahari kule upande wa Sea cliff imeuzwa miaka ya late sana(2006) alikuwa akiishi Mzee mwambenja inataza cliff.

Na huku chole road zile nyumba za Bandari walikuwa wakiishi kina marehemu mzee Lukuba ziko vizuri.

Hatari ni nyumba za Posta mzee kule mtaa wa Chakechake na IST pale opposite Village supermarket. Doesnt make any sense kuuzwa zile nyumba
Nyumba za bandari masaki watu wmeuziana
Alafu bei chee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata zile nyumba za bandari kama unaelekea sleepway wamegawiana zote
Kwa kifupi tu huko nyumba nyingi wamepeana
Ndomana unakuta Sahv serikali hko haina chake

Ova
Mkuu kuna nyumba moja ya Bandari inatazama bahari kule upande wa Sea cliff imeuzwa miaka ya late sana(2006) alikuwa akiishi Mzee mwambenja inataza cliff.

Na huku chole road zile nyumba za Bandari walikuwa wakiishi kina marehemu mzee Lukuba ziko vizuri.

Hatari ni nyumba za Posta mzee kule mtaa wa Chakechake na IST pale opposite Village supermarket. Doesnt make any sense kuuzwa zile nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Hivi kipindi hicho aliamka tu na kwenda kuuza tu...?! Hakukuwa na makubaliano na baraza la mawaziri...?! Je Rais alikuwa hajui...?! Waziri mkuu hakufahamu...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom