Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

Mada iliyoko mezani si ni nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa? Wee unaona vizuri mahawara kugawiwa nyumba zetu kama njugu? Nakuuliza wewe chiroptera na duck billed platypus
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Mmenikumbusha mbali sana ila bahati mbaya watu hawaoni tu.......serikali yenyewe ikitaka kuchukua maeneo ya watu kwa maslahi ya Taifa unakuta inalalia bei ambapo nyumba ya milioni 120,000 mtu anapewa milioni 40,000
 
Hii Kuna mtu anatafutwa akomolewe tu
Ila Hilo zoezi likifanyika kwa haki bin haki habaki mtu... Ndomana Kuna mstaafu mmjs wa polisi alishaibetua nyumba yake obay kitambo sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mna bahati mko na fake id, otherwise ungeshikwa uende Ku prove your allegations mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app

..mnapenda sana kudeka. Kila kitu mnakimbilia kuita polisi na kutumia mahakama vibaya.

..waandishi wa Rai waliomlipua hawakuandika kwa fake id kwanini hamuwapeleki mahakamani?

..hii habari ni kweli, na amehusika ndiyo maana unaona amekaa kimya. Angekuwa hahusiki angewasumbua sana wahusika.
 
S
..mnapenda sana kudeka. Kila kitu mnakimbilia kuita polisi na kutumia mahakama vibaya.

..waandishi wa Rai waliomlipua hawakuandika kwa fake id kwanini hamuwapeleki mahakamani?

..hii habari ni kweli, na amehusika ndiyo maana unaona amekaa kimya. Angekuwa hahusiki angewasumbua sana wahusika.
So wanaosumbuliwa Sasa ni haki yao?
 
Ukituhumu mtu, lazima ukathibitishe mahakamani buda

Sent using Jamii Forums mobile app
Watuhumiwa wa "uchochezi, uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha" mawakili wa sirikali wamethibitisha wangapi? Maana mahakama zenu,DPP wenu,TISS nyie,policcm wenu,.....!Mbona hatuoni mrejesho? Badala yake imebaki vitisho "mtu akipotea vyombo vya dola visihusishwe,mtakamatwa!!!!! Ovyoooo.
 
Ukimsikiliza Lukuvi inaonekana wachawi wa Mambo yote wapi pia wizara anayoiongoza.

Angetambaa mpaka Ardhi magomeni Wana njaa Sana wale Land valuer na wapima . Kazi haifanyiki wanasingizia Mara viwanja havijaingizwa kwenye master plan ili mradi uwape rushwa katika wizara inabidi wafungiwe CCTV camera Kama nyenzo ya kupima ufanisi ni Ardhi Magomeni. Wanaendekeza njaa Sana.

Waziri nadhani unafahamu kwamba wizara yako I a shida kubwa inabidi mpaka makamishna unawaowateua wawe Wana inspect kazi huku wilayani wananchi tunasumbuka Sana na rushwa haki yetu tunazungushwa mpaka tujiongeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo Macha mzee inaonekana ni Cartel Fulani wa kumiliki mijengo mizuri. Bwana Macha Lukuvi Yuko pembeni yako.

We nyumba regent pale unachukua kwa Bei chee. Mzee usisahau na zile nyumba zilizokuwa za Urafiki 2. Kuna wasukuma wanaishi mule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Nyumba alizouza Magufuli ziliuzwa bei gani na zilikuwa na thamani gani?

..UFISADI uliofanyika hapo hauna tofauti na ufisadi aliofanya Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Lukuvu asilete Ubabaishaji, Nyumba alizouza AKALI MAGU Masaki na Oysterbay kwa mili 6 hadi 10 mbona hazizungumzii?
 
Watuhumiwa wa "uchochezi,uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha" mawakili wa sirikali wamethibitisha wangapi? Maana mahakama zenu,DPP wenu,TISS nyie,policcm wenu,.....!Mbona hatuoni mrejesho? Badala yake imebaki vitisho "mtu akipotea vyombo vya dola visihusishwe,mtakamatwa!!!!! Ovyoooo.
Wamethibitisha wangapi? Uniambie wewe much know, ni wangapi walothibitisha. Maana nyinyi mnajuaga kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..haiondoi hoja kwamba ni UFISADI.

..na haiondoi hoja kwamba ameiingizia serikali HASARA.
Alafu we jamaa ulikuwa pro Kikwete's government, I wonder now. Lazima Kuna mirija imebanwa na magu ndio maana umekuwa bitter nae sana. Won't change shit though, 2020 anapita kwa kura mob kushinda jk wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba zote za serikali 'walizogawiana' zirudushwe, naona hapa wanaotafutwa ni wale ambao wanataka kuwaondoa ktk kichanganyiro cha uchaguzi ccm 2020.
 
Back
Top Bottom