mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,039
- 35,921
Kama kweli hakuna double standard katika nchii hii basi nyumba ya Mwalimu Nyerere pale msasani nayo inatakiwa kuwekewwa X tayari kwa kubomolewa tarehe 5,kwani nyumba hii inakiuka sheria ya mipango miji iko ndani ya mita 60 toka baharini,JPM ukibomoa nyumba hii nitakuona wewe ni bonge la Rais na na najua unaweza kma jengo la Tanesco makao makuu kidogo ulipige nyundo hii itakushindaje