Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare yapigwa X

wallah, kuna ishu zinalipa hapa mjini,mjengo wa maana, ubolewe tu maana sheria ni msumeno.
 
Mwanzo waliufyata na sasa wataufyata tena hakuna mwenye ubavu wa kugusa hiyo nyumba watapigwa na upofu
Acha mikwara mbuzi itabommolewa n' nothing will happen ,ni mwendo wa kufuata sheria ya kaisari apewe kaisari na ya mungu apewe mungua hata huyo mwenye jengo anajua
 
Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare iliyopo Kawe Beach Mtaa wa Ally Sykes imepigwa X na kuandikwa maneno "BOMOA" mchana huu.

My take: kuna watu huwa wanalalamika kuhusu huu ubomoaji ni uonevu kwa maskini. Tuache kulalamika na tufuate sheria.

Mchungaji Lwakatare sio hohehahe lakini sheria imempitia.

Source: Mimi mwenyewe.

View attachment 314008 View attachment 314009
View attachment 314010
Kale kawimbo ka wache waisome namba upo wapi mniwekee kidogo
 
Angalia usitoke nje ya mada kwa ushabiki usiokuwa na maana! Lengo siyo kumkomoa mama Lwakatare bali lengo ni kurudisha maeneo yaliyojengwa sehemu ambazo hazipaswi kujengwa, kama mama Lwakatare akienda akajenga mavila mengine 50 maadamu ni sehemu inayoruhusiwa hakuna atakayembughudhi na ni haki kufanya hivyo ili mradi havunji sheria za nchi!
Upo sawa sawa
 
Ngoja tulie kwa sasa lakini baada ya miaka kadhaa tutamkumbuka jpm na wenzie kwa kutupangia jiji letu.

Litapemdeza sana.
 
Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare iliyopo Kawe Beach Mtaa wa Ally Sykes imepigwa X na kuandikwa maneno "BOMOA" mchana huu.

My take: kuna watu huwa wanalalamika kuhusu huu ubomoaji ni uonevu kwa maskini. Tuache kulalamika na tufuate sheria.

Mchungaji Lwakatare sio hohehahe lakini sheria imempitia.

Source: Mimi mwenyewe.

View attachment 314008 View attachment 314009
View attachment 314010
mkuu hii siyo nyumba,ni JUMBA,ungerekebisha kidogo hiyo title.
 
Kwa sababu inayovunjwa si yako unashamgilia.Vaa Viatu vya mwemzako.Wewe hapo ukivunjiwa kale ka msingi utafanyaje?Makosa yalishafanyika ,watafute njia ya kuweka miundo mbinu kwenye maeneo ya makazi hayo au waandae fidia.Walikuwa Wapi Mpaka majengo yana simama.

Q
 
siwatetei ila mchungaji atajenga nyingine sasahivi, hao wa kigogo 'polepole ndio mwendo!
Atajenga vipi ilhali waumini waliokuwa wanampa sadaka wengine wamebomolewa na wengine magufuli ameziba mianya yao ya kupata pesa?
 
Kwa sababu inayovunjwa si yako unashamgilia.Vaa Viatu vya mwemzako.Wewe hapo ukivunjiwa kale ka msingi utafanyaje?Makosa yalishafanyika ,watafute njia ya kuweka miundo mbinu kwenye maeneo ya makazi hayo au waandae fidia.Walikuwa Wapi Mpaka majengo yana simama.

Q
Naheshimu mawazo yako lakini sijaona dondoo yoyote kwa ukisemacho
 
Hili zoezi la bomoa bomoa serikali sikivu ya MAGUFULI inabidi kuliangalia kwa jicho la pili kwani kila nikitafakali nayaona kwa mbali madhara makubwa yatakayosababishwa na zoezi hili........Kimsingi ni kwamba kweli wananchi wamevunja sharia lakini ubinaadamu unatakiwa uchukue nafasi kwa kuwa wale sio wanyama ni binaaadamu......
Na mawazo kama haya ndio yametufikisha hapa tulipo.
 
Angalia usitoke nje ya mada kwa ushabiki usiokuwa na maana! Lengo siyo kumkomoa mama Lwakatare bali lengo ni kurudisha maeneo yaliyojengwa sehemu ambazo hazipaswi kujengwa, kama mama Lwakatare akienda akajenga mavila mengine 50 maadamu ni sehemu inayoruhusiwa hakuna atakayembughudhi na ni haki kufanya hivyo ili mradi havunji sheria za nchi!

Maoni mazuri. Nisaidie hivi NEMC hawahusiki na sehemu nyingine za nchi? Sijasikia mipango yao ya kuvunja nyumba zilizojengwa kando ya ziwa Victoria. Hasa mwanza. Capripoint, mwaloni, etc. Au waliovamia hifadhi ya Mlima Kilimanjaro , Kingo za mto ruaha Kama migoli na izazi. Kilimo kinachoendelea kwenye vyanzo vya maji iyovi Hadi ruaha mbuyuni, milima ya uluguru na kwingineko. Or it is only a Dsm issue?
 
acha masikini tuwe wakimbizi kwenye nchi yetu wewe unaeshangilia hayajakukuta watu wamejenga nyumba ujanani wamemaliza uzeeni unaambiwa bomoa na kwa kwenda huna we unadhani utafurahi
 
Back
Top Bottom