Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 2,475
- 3,108
Vipi kuhusu hela ya kiwanja mfano 2M wewe unapata hela kiasi gani? kwenye nyumba umesema hela ya mwezi mmoja Je kwenye kiwanja inakuwaje?Inahusu wateja wote
Ninanyumba za kupanga kila mahalia/sehemu ZOTE Mwanza hasa hizi wilaya za mjini ilemela na nyamagana LKN PIA MJUE BIASHARA YA NYUMBA SIO KAMA VOCHA UNANUA KWANZA NDIO UNAWEKA KWENYE CMU HUKU UNAONA KWANZA UKILIZIKA KABISA TUNAKUKUTANISHA NA MMILIKI WA NYUMBA UNALIPA KODI YAKE BAADA YA HAPO UNATUPA PESA YETU YA MWZ MMOJA NA HELA YA KUKUPELEKA TEN TU toka nimeweka humu huu uzi sijaona mtu yoyote niliefanya nae kazi analalamika hapa kwenye UZI au kwenye cmu yangu hi inaashilia kwamba hakuna aliyewahi kufanyiwa jambo lolote baya
NB
Ww kama unataka nyumba au kiwanja au fremu piga Simu ukiwa umeamua kuhama
Kila siku watu wanahamia Mwanza na wengine wahamia makwao
0767241001 swala la nyumba kwangu sio tatizo