House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Inahusu wateja wote
Ninanyumba za kupanga kila mahalia/sehemu ZOTE Mwanza hasa hizi wilaya za mjini ilemela na nyamagana LKN PIA MJUE BIASHARA YA NYUMBA SIO KAMA VOCHA UNANUA KWANZA NDIO UNAWEKA KWENYE CMU HUKU UNAONA KWANZA UKILIZIKA KABISA TUNAKUKUTANISHA NA MMILIKI WA NYUMBA UNALIPA KODI YAKE BAADA YA HAPO UNATUPA PESA YETU YA MWZ MMOJA NA HELA YA KUKUPELEKA TEN TU toka nimeweka humu huu uzi sijaona mtu yoyote niliefanya nae kazi analalamika hapa kwenye UZI au kwenye cmu yangu hi inaashilia kwamba hakuna aliyewahi kufanyiwa jambo lolote baya
NB
Ww kama unataka nyumba au kiwanja au fremu piga Simu ukiwa umeamua kuhama
Kila siku watu wanahamia Mwanza na wengine wahamia makwao
0767241001 swala la nyumba kwangu sio tatizo
 
Labda kuna aliyeelewa ukichoandika hapa mkuu.
Leo nataka niseme wateja BORA KABISA ¡¡¡¡¡¡¡
1.PLz(CBzes CRM MTAndaoni)
Hawa jmn kila siku nawapangamgisha wakikaa baada ya mwz wanasema nimeamishwa kikazi mtafutie mpangaji analudishie pesa yangu (FILE WAMEANGALIA KWA DARUBINI WAMEGUNDUA HAKUNA VIRUSI)
2.mhkmn hawa wanakuja jumla jumla wenyewe wanaamn hawadhulumiki
3.wanawake sjui kwasababu wanatumia sana hii mitandao ya kijamii
4.wafanyabiashara
5.Raia waliopo nje ya nchi
6.wanazengo na wafanyakazi
7.raiwa wa kawaida kabisa hao ndio wengi
NB
Nilichojifunza kwa watu wote n kusema ukweli tu
MUNGU AWABARIKI SASA




NB
Nilicho jifunza kuhusu wateja wanataka wema tu akigundua ajafanya zambi yoyote anamuambia mwenzie WKT MWINGINE NAWADADISI LKN MAJIBU YANANISHANGAZA SANA !!! NILIMSADIA MTU MWINGINE KABISA TENA IMEPITA MUDA HATA JF ATUMUI¿¡¡¡
 
Hi inaitaji mtu wa kukaa bure IPO fumagila kishiri ili ulinde kiwanja chake
20190906_134709.jpeg
 
hivi ile sheria ya kuliia kodi mwezi,miezi miwili au mitatu ilishasainiwa na mh rais?
 
Ushauri Mzr nimeupokea mkuu, kuanzia sasa nitafanya hivyo watakuja wateja kutoa mrejesho hapa ila kwa wale watakao shindwa ntawachaji pesa ya Mafuta Asante
nakushauri ondoa gharama ya kumpeleka mteja kwenye nyumba pale anapokubali kulipia, muhimu sana hyo
 
hivi ile sheria ya kuliia kodi mwezi,miezi miwili au mitatu ilishasainiwa na mh rais?
Ntajua wp ndugu yangu!!! ikipita wenye nyumba hawaitaki kabisa, daah binafsi naunga mkono kabisa hiyo sheria kuna watu wanakosa nyumba nzuri kwasababu tu Hawana pesa nyingi ya pamoja tu
 
Nyegezi
Majengo mapya
Vyumba 2
Self vyote
Dinning&sitting rm
Jiko ndani
Fensi
Bei mil 2.4 kwa mwaka
Anapokea miezi sita
Kifupi n nyumba moja lkn n yafamilia mbili tu imetenganishwa na ukuta ktkt
0767141001/0620690670
Atakaye lipia Nyumba anafutiwa gharama za kupelekwa kuanzia leo
Photo1567769415863.jpeg
Photo1567769415863.jpeg
Photo1567769415863.jpeg
 
Buzuruga
Gharofa
Linavyumba 6
Vyote n self
Kila chumba kinasehemu ya njee ya kupungia upepo
master bed room 2 zinasehemu za kubadilishia nguo
Kuna sitting room 4
Dinning dinning 4
Majiko matatu
Kuna chumba cha LIBRARY
Sehemu ya juu ya kupumzika
hii nyumba inambo mengi sana yachosha kuyaelezea
BEI YAKE N MIL 900
0767241001/0620690670
NB
Nyumba kama hizi hatuuzi kama huna WAKILI WAKO na mtu wa ARDHI
Photo1567771489560.jpeg
Photo1567771535873.jpeg
Photo1567771489560.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20190906-150312_Instagram.jpeg
    Screenshot_20190906-150312_Instagram.jpeg
    57.8 KB · Views: 13
Nyakato
Vyumba 2
Dinning
Living rm
Self contained 1
Public toilet
Jiko
Parking
Bei mil 2.5 kwa mwaka
Anapokea miezi 6
Inajitegemea umeme na maji
Dakika 5 toka barabarani
0767241001/0620690670
NB
Nyumba za kupanga tunazo kila mahali ukilipia kodi ya mwenye nyumba, sisi tunafuta pesa yakukupeleka(ten) lkn unatakiwa kutulipa kodi yetu ya mwezi mmoja tu tofauti yetu na wezetu kuanzia leo


Photo1567772925428.jpeg
Photo1567772864889.jpeg
Photo1567772834013.jpeg
Photo1567772802058.jpeg
Photo1567772790192.jpeg
Photo1567772751591.jpeg
Photo1567772710868.jpeg
Photo1567772710868.jpeg
Photo1567772834013.jpeg
 
Nyaishishi center
Nyumba yenye bati jekundu msouth
Vyumba 3
Dinning rm
Living rm
Finishing bado
Bikon zip
Upimaji shirikishi
Njoo utazame ukilizika
Mlete Afisa Ardhi ajilidhishe na Mwanasheria wako unaemuamini
Bei mil 30
0767241001/0620690670

NB
Afisa ardhi pamoja na mwanasheria gharama zao Hawa wote wawili haizidi lk 3 n vzr tukawatumia kwa muslahi ya pande zote mbili

Photo1567799999354.jpeg
Photo1567799999354.jpeg
 
Nyamuhongoro
Kirb na Taiwan
Vyumba 3
Viwil self
Jiko
Dinning
Living room
Nyumba mpya inajieleza yenyewe
Kodi mil3.5 kwa mwaka
Atakayelipia nyumba tumefuta Gharama za kumpeleka kuanzia leo
0767241001/0620690670
NB
Wateja wangu wa wakaida sana nyumba zenu za 40 elfu ninazo nyingi sana kila kona msiogopeshwe na haya MAHEKALU mkono unakuna pale unapofikia na mjue watu hatufanani kabisa hakuna pesa sio yamuhimu kwetu
Photo1567802547018.jpeg
Photo1567802581983.jpeg
Photo1567802649719.jpeg
Photo1567802676413.jpeg
Photo1567802619772.jpeg
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom