Zipo andaa kuanzia Mil 3 hadi 4 kwa mwakaFrem mjin ambapo naweza nikauza spear za magari
Zipo nyumba za kila bei kuanzia za chini hadi magorofa,fremu za mtaani hadi mjini kati,viwanja vya milion 1.5 nk, kila mtu atapewa kulingana na uwezo wake karibuniMaduka 9
Dakika 2kutoka kwenye Rami
Njia ya kwenda kwa Malisa church
Vyumba viwili vya kisasa
Self vyote
Store,jiko,
Maji$umeme inajitegemea 24/7
Parking ya basi 6za mikoani
Fensi kubwa
Bei mil 3kwa mwaka
Miezi 6 anapokea
0767241001/0620690670View attachment 1194022View attachment 1194024View attachment 1194025View attachment 1194026View attachment 1194027View attachment 1194028View attachment 1194029View attachment 1194030View attachment 1194031View attachment 1194033View attachment 1194034View attachment 1194036View attachment 1194038View attachment 1194039
NBPPF HOUSE KISEKE
Vyumba 2
Self contained 2
Public toilet
Inatazamana na RAMI
0767241001/0620690670View attachment 1196477View attachment 1196480View attachment 1196483View attachment 1196484View attachment 1196485View attachment 1196486
N SWALA LA UELEWA TU!!!Vyumba vya elfu 15,20,25,30 Vimejaa sana maeneo Mengi ya Mwanza, kuanzia Igoma, National, Nyambiti, Nyasaka, sasa sijui wewe dalali unavyosema vyumba vinaanzia 40,000 unaishi Mwanza ipi, Madalali mnashida sana yakupandisha bei ya Vyumba bora umwambie Mpangaji Akukatie kiwango flani kuliko kumpandisha bei abebe huo mzigo mwaka mzima kisa tamaa ya kodi ya mwezi mmoja.
Mwisho kabisa amani itawale ktk maisha yako mkuu, na usiwe mtu wa kutazama mambo kwa njia HASI SANA MKUUN SWALA LA UELEWA TU!!!
Ni kweli kabisa VIPO KILA MAHALI MKUU,lkn sipangishi vyumba vya chini ya hiyo elfu 40 zipo sababu nyingi sana
1.nyumba hizo nyingi hazina umeme
2.zipo milimani
3.nyumba za udongo
4.Uswahilini sana
5.Aina ya wapangaji wa hizo nyumba pia wanachangamoto kubwa sana na mm nakwepa pia kufanya kazi na watu wa AINA HIYO MKUU
NB
Kwa hiyo unatakiwa kujua mkuu n kama kwenda mjini kwa daladala,wkt mwezako anaenda kwa Bajaji,mwingine anatumia pikipiki nk
Wkt mwingine mtu anajiwekea mipaka ya kazi zake
Basi futa kauli yakuwa unanyumba zaina ya watu wote ilihali huweki hapa nyumba za sisi wanyonge.....Mwisho kabisa amani itawale ktk maisha yako mkuu, na usiwe mtu wa kutazama mambo kwa njia HASI SANA MKUU
Angalia vzr tangazo labda ujaliewa mkuuBasi futa kauli yakuwa unanyumba zaina ya watu wote ilihali huweki hapa nyumba za sisi wanyonge.....
Angalia vzr tangazo labda ujaliewa mkuu....
5.Aina ya wapangaji wa hizo nyumba pia wanachangamoto kubwa sana na mm nakwepa pia kufanya kazi na watu wa AINA HIYO MKUU
NB
Kwa hiyo unatakiwa kujua mkuu n kama kwenda mjini kwa daladala,wkt mwezako anaenda kwa Bajaji,mwingine anatumia pikipiki nk
Wkt mwingine mtu anajiwekea mipaka ya kazi zake